Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Mkiendelea hivi, hata kwenye soka tutawatawala kama tulivyowatawala katika muziki
Hahahaha Kenya wanaona Tanzania kama zamani tulivyokua tunaiona SA 😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkiendelea hivi, hata kwenye soka tutawatawala kama tulivyowatawala katika muziki
Mkiendelea hivi, hata kwenye soka tutawatawala kama tulivyowatawala katika muziki
Nyomi ndio linalowatia hofu, ona walivyochanganyikiwa hadi wanasema ni watu laki moja.Walikuwa wanamchek Onyango wao. Vp hawajatishika na nyomi? Maana wao wanawaza corona tu
Ha ha ha tumewashika pabaya, sasa green and Yellow 30 of August itatisha zaidi. Wanarumbana tuNyomi ndio linalowatia hofu, ona walivyochanganyikiwa hadi wanasema ni watu laki moja.
Media na wakenya ni vitu viwili tofauti[emoji23][emoji23]Hahahaha, wakenya mnafuatilia habari za Tanzania kuliko mnavyofuatilia habari za ndani ya Kenya, kama unabisha fungua uzi tulinganishe kati ya media za Kenya na Tanzania zipi zenye kuripoti kuhusi nchi nyingine kama hutokimbia.
Unamaanisha ule mziki wa lebo mojaMkiendelea hivi, hata kwenye soka tutawatawala kama tulivyowatawala katika muziki
Hivi hivi ndio tuliwatawala katika muziki hadi musicians wenu wakaandamana kutaka muziki wenu upewe more airtime kuliko Tanzanian music, unakumbuka?.Media na wakenya ni vitu viwili tofauti[emoji23][emoji23]
Unajua maama ya habari za kimataifa we bwege au ndio unaropoka tu..
Vile hko news centers wanapimiwa vitu vya kutangaza basi ndio unafikiria mpka citizen na ktn unaweza wapelekeaha hvo..
Tena msithubutu kuwapa wanahabari wa kenya kuingia na kuchimba habari za bongo, manke mtaumbuka muwanyonge bure
Very very soon Tanzania premier league shall overshadow KPL on Kanya media newsMedia na wakenya ni vitu viwili tofauti[emoji23][emoji23]
Unajua maama ya habari za kimataifa we bwege au ndio unaropoka tu..
Vile hko news centers wanapimiwa vitu vya kutangaza basi ndio unafikiria mpka citizen na ktn unaweza wapelekeaha hvo..
Tena msithubutu kuwapa wanahabari wa kenya kuingia na kuchimba habari za bongo, manke mtaumbuka muwanyonge bure
Very very soon Tanzania premier league shall overshadow KPL on Kanya media news
Uwanja unachukua watu elfu 60 wao wanasema watu zaidi ya laki hapa tunaona Kwa jinsi gani wakenya asili yao kukurupuka wameshindwa hata kugoogle kujua kuhusu huu uwanjaNyomi ndio linalowatia hofu, ona walivyochanganyikiwa hadi wanasema ni watu laki moja.
Kwanini unatukana "fala"?, au nikisema "fala" ni mama yako utafurahi?Keep focussing on KPL fala hii while Kenyans are busy with International Leagues.Sisi hata hatutambui ligi yenu more reason why am saying u are so obsessed na Kenya
10/10[emoji23][emoji23]
Wivuuuuuuu
Mziki wa tanzania sai kenya umeshapigwa na chini, hayo mambo sai wakenya wamesahau..Hivi hivi ndio tuliwatawala katika muziki hadi musicians wenu wakaandamana kutaka muziki wenu upewe more airtime kuliko Tanzanian music, unakumbuka?.
Sasa tumaanza kuwatawala katika soka, subiri muda sio mrefu wachezaji wa Kenya wataanza kulalamika kwamba media zenu zinapendelea ligi ya Tanzania.
Ona jinsi analyssts wenu wanavyoijua ligi ya Tanzania kwa undani
It is part of Kenyan media, isn't? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]10/10[emoji23][emoji23]
Sasa hivi media za Kenya zimehamie katika soka la Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]Mziki wa tanzania sai kenya umeshapigwa na chini, hayo mambo sai wakenya wamesahau..
Hao kazi yao ni kukuza mamba, mkenya akikuambia kwamba analipwa milioni moja kwa mwezi, basi ukweli ni kwamba analipwa nusu yake.Uwanja unachukua watu elfu 60 wao wanasema watu zaidi ya laki hapa tunaona Kwa jinsi gani wakenya asili yao kukurupuka wameshindwa hata kugoogle kujua kuhusu huu uwanja
[emoji3][emoji3][emoji3]Hao kazi yao ni kukuza mamba, mkenya akikuambia kwamba analipwa milioni moja kwa mwezi, basi ukweli ni kwamba analipwa nusu yake.
Tuletee leo habari za saa moja kunetajwa soka la tzSasa hivi media za Kenya zimehamie katika soka la Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]