komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Ndio ujue sasa km watu hawana hamu na bongo, wakenya hatujisumbui sana kuichimba tz kw kinaHao kazi yao ni kukuza mamba, mkenya akikuambia kwamba analipwa milioni moja kwa mwezi, basi ukweli ni kwamba analipwa nusu yake.