Hongera 'Kenyan media' kwa ufuatiliaji kwa karibu soka la Tanzania

Walikuwa wanamchek Onyango wao. Vp hawajatishika na nyomi? Maana wao wanawaza corona tu
Nyomi ndio linalowatia hofu, ona walivyochanganyikiwa hadi wanasema ni watu laki moja.

Hahahaha, wakenya mnafuatilia habari za Tanzania kuliko mnavyofuatilia habari za ndani ya Kenya, kama unabisha fungua uzi tulinganishe kati ya media za Kenya na Tanzania zipi zenye kuripoti kuhusi nchi nyingine kama hutokimbia.
Media na wakenya ni vitu viwili tofauti[emoji23][emoji23]
Unajua maama ya habari za kimataifa we bwege au ndio unaropoka tu..
Vile hko news centers wanapimiwa vitu vya kutangaza basi ndio unafikiria mpka citizen na ktn unaweza wapelekeaha hvo..

Tena msithubutu kuwapa wanahabari wa kenya kuingia na kuchimba habari za bongo, manke mtaumbuka muwanyonge bure
 
Hivi hivi ndio tuliwatawala katika muziki hadi musicians wenu wakaandamana kutaka muziki wenu upewe more airtime kuliko Tanzanian music, unakumbuka?.

Sasa tumaanza kuwatawala katika soka, subiri muda sio mrefu wachezaji wa Kenya wataanza kulalamika kwamba media zenu zinapendelea ligi ya Tanzania.

Ona jinsi analyssts wenu wanavyoijua ligi ya Tanzania kwa undani
 
Very very soon Tanzania premier league shall overshadow KPL on Kanya media news
 
Very very soon Tanzania premier league shall overshadow KPL on Kanya media news
Keep focussing on KPL fala hii while Kenyans are busy with International Leagues.Sisi hata hatutambui ligi yenu more reason why am saying u are so obsessed na Kenya
 
Nyomi ndio linalowatia hofu, ona walivyochanganyikiwa hadi wanasema ni watu laki moja.
Uwanja unachukua watu elfu 60 wao wanasema watu zaidi ya laki hapa tunaona Kwa jinsi gani wakenya asili yao kukurupuka wameshindwa hata kugoogle kujua kuhusu huu uwanja
 
Keep focussing on KPL fala hii while Kenyans are busy with International Leagues.Sisi hata hatutambui ligi yenu more reason why am saying u are so obsessed na Kenya
Kwanini unatukana "fala"?, au nikisema "fala" ni mama yako utafurahi?
 
Mziki wa tanzania sai kenya umeshapigwa na chini, hayo mambo sai wakenya wamesahau..
 
Uwanja unachukua watu elfu 60 wao wanasema watu zaidi ya laki hapa tunaona Kwa jinsi gani wakenya asili yao kukurupuka wameshindwa hata kugoogle kujua kuhusu huu uwanja
Hao kazi yao ni kukuza mamba, mkenya akikuambia kwamba analipwa milioni moja kwa mwezi, basi ukweli ni kwamba analipwa nusu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…