Hongera kwa gazeti la Mwananchi, mmethubutu

Hongera kwa gazeti la Mwananchi, mmethubutu

Nikifika Dar kesho nitakwenda hadi ofisini kwao kuwapongeza, hope ofisi zao zitakua wazi muda wa saa nane mchana! I will be there
Nipelekee salam zangu pia. Waambie Chakaza anasema "hata wamama wanapovumilia miezi kadhaa kwa changamoto za ujauzito wanajua mwisho ni furaha ya kuwa na mtoto",
Wavumilie tuu wataipata furaha
 
Nikifika Dar kesho nitakwenda hadi ofisini kwao kuwapongeza, hope ofisi zao zitakua wazi muda wa saa nane mchana! I will be there
by then unaweza kutana na makufuli tu na hakuna mtu hata mmoja ofisini kwani gazeti litakuwa lishafungiwa tayari kwa kuchapisha habari ya Tundu Lissu!
 
Huenda wameanza kugundua hatari ya kumlamba miguu Bwana yule.

Hata hivyo, gazeti linaweza kuadhibiwa kwa kuandika habari hii bila ku-balance story kwa kuwahoji watu wasiojulikana!
Hili gazeti toka mwanzo lilikuwa linajitahidi
 
We nadhani hiyo taarifa ina MADHARA gani kwa JPM hiyo taarifa ni nzuri maana akishinda lisu ni ushahidi tosha kumlinda Jpm
Hivi kweli ni JPM huyuhuyu anayeenda kanisani kila Jumapili ndio alipanga lile shambulio au anapakaziwa tu?
 
Ni gazeti pekee angalau lilodhubutu kuzungumzia habari za Tundu Lisu mgombea halali wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Azam tv habari pia tuliona habari yenu kumhusu Lissu, inatosha kusema angalau mmethubutu.

Hawa jamaa pamoja na kuwepo na virus wa ccm kwenye sehemu ya watendaji hapo mwananchi media house lkn bado wanajitahidi angalau kuziba masikio
 
Hawa jamaa pamoja na kuwepo na virus wa ccm kwenye sehemu ya watendaji hapo mwananchi media house lkn bado wanajitahidi angalau kuziba masikio
Hawa wanajua gazeti lao kuongoza ni kutokana na kuweka habari sensitive kama hizi sasa wakianza kuandika kwa matakwa ya serikali basi watapoteza credibility mwisho wa simu mapato yatashuka kumbuka hawa sio TBC ambao wanapokea ruzuku hivyo wanategemea mauzo ili wajiendeshe
 
Hizi media wasipo kuwa na viongozi weledi zinaishia kujifia Kama kina channel kumi na ile nyota tv
 
Tangu Lissu afike ni gazeti pekee lililojitahidi kumuandika front page mara kadhaa hata alipokuwa Ubelgiji walikuwa wanamuhoji nafikiri watawala hawafurahia habari hii.
😀😀😀😀😀😀😀😀 Tundu Lissu hataandikwaje hatumwamini tenaaaaaaa. Over
 
Kwa mazingira haya ya serikali kufanya "Media Censorship" ndo inaua kabisa hivi vyombo vya habari binafsi visivyopokea ruzuku.

Kwa maana hiyo ni kuwa ajira katika vyombo hivyo viko katika hatihati ya kutoweka kufuatia vyombo hivyo kukosa wateja kwa kulazimishwa kuandika habari za kuisifia serikali tu.
 
Back
Top Bottom