Hahahahaaa,hata kwenye hiyo video wameweka ba hiyo picha ya Meya akiwa na kinyago akidai ni kinzai!😂😂😂Hakuna cha hasira wala nini sijui,, mimi upenda sana kuwa mkweli na sio kuleta propaganda za maji taka - hamjawahi kutuletea hapa picha moja genuine ya kuthibitisha madai yenu ya Alinacha - niliwahi kumuona. Mayar wa Kiev Vitalis ameshikilia kinyago cha concrete moulded stuff kikiwa na tundu la risasi akidai kwamba hicho kinyago hicho kiltunguliwa na Patriot ADS za Ukraine - hata aibu ya kusema uongo hawana kabisa wanafikiri kila mtu ni hamnazo.
Hakuna cha hasira wala nini sijui,, mimi upenda sana kuwa mkweli na sio kuleta propaganda za maji taka - hamjawahi kutuletea hapa picha moja genuine ya kuthibitisha madai yenu ya Alinacha - niliwahi kumuona. Mayar wa Kiev Vitalis ameshikilia kinyago cha concrete moulded stuff kikiwa na tundu la risasi akidai kwamba hicho kinyago hicho kiltunguliwa na Patriot ADS za Ukraine - hata aibu ya kusema uongo hawana kabisa wanafikiri kila mtu ni hamnazo.
Look here you CRETIN, if you think 'am an average JOE like you; you are dead wrong We fara tu umezoea sana kudharau watu - hakuna hata haja ya kuwa na taaluma ya kumfikua Prof. Sigmund Freud kutambua kwamba kinacho kusumbua ni deep seated traits za inferiority complex, fatilia comments zako nyingi za siku za nyuma zina eleza nini kuhusu your warped mentality kazi yako muda wote ni kujaribu kuzodoa watu unao tofautiana nao kimasimamo na maoni, kisa wamaisema Amerika: anajifanya kama wewe umepewa wadhifa na Biden wa kuwa a Roving Ambassador au Minister without Portfolio wa Serikali ya Amerika, masaa yote kujifanya unajua kila kitu kinacho fanyika ndani ya uongozi wa inner circle ya Serikali ya Amerika, kazi ku quote quote past broadsheet papers na tabloid progaganda unafikiri watu hawajawahi kuzipitia na kuzi ignore, ungekuwa walao wewe ni former jasusi kama Edward Snowden aliye kimbiria Urusi na kutoa tahadhali nyingi kuhusu modus operandi ya USA kwa kupitia mitandaoni na kwenye simu za mikononi hacking even their so called friends like Angela Merkel etc au kama ungekuwa ni Julian Assange anaye juwa siri nyingi za Serikali ya Merikani za kiharifu na hujuma kutokana na treasure trove ya million ya mafaili yanayo zungumzia uharifi wa Uongozi wa Serikali ya Merikani over the years, kama ungekuwa kwenye league ya watu tajwa hapo juu Dunia ingeweza kukuchukulia seriously, kwamba kweli jamaa huyu zaidi, lakini mtu wa kutoka mabonde kuinama kwa kuwa uliwahi kusoma au kuishi Ukraine ndio maana anashikwa na hasira sana akiona Ukraine inatandikwa vilivyo hivi sasa, hasira zako ndio unazitumia ku-kuwasema watu vibaya, hivi wewe una tofauti gani na like mind mwenzako a seasoned clown Zelensky jamaa mkatiri kama nini hata wafe mamia ya mamillion ya Waukraine wenzake yeye anaona sawa tu mradi amfurahishe Biden na genge lake ovu.Wewe mswahili, proPutin mwenye akili fupi ndio unafikiri Kinzhal inayodaiwa kuwa hypersonic ni alpha na Omega wa silaha duniani. Sasa unaonyeshwa ambayo hupendi kuyaona na mifumo ya West unabaki kupiga porojo tu na kujifanya mtaalamu uchwara.
Patriot tumeanza kuziona zilishindwa kete na SCUD za Saddam Hussein mpaka Waisrael wakalazimika kuvaa face masks wakihofia chemical agents - Viongozi wa Israel walikasirika sana mpaka wakafikia hatua ya kutaka kuingia vitani ili walinde Taifa lao baada ya kuona kumbe Patriot ADS si lolote si chochote na mifano tunayo mingi ya kuthibitisha ukweli huo - wewe unayo yaita sijui mapipa wenzako Merikani wanabuni kila mbinu ili kuhakikisha silaha hii hatarishi haisambazwi Duniani mdio maana US wanasema atakaye nunua S-400 atawekeza vikwazo vya kiuchumi, hivi inaingia akili kwamba silaha ambayo una uhakika si tishio kwako kuna haja gani ya kutishia mataifa mbali mbali Duniani kwamba wasizinunue silaha hizo za Urusi or else? US inajuwa vyema kwamba S-400 ni tishio kubwa kwa ndege zao na missiles.Kaa kwa kutulia, mpaka sasa Patriot zipewe heshima yake,huwezi zilinganisha na yale mapipa ya s.400 ya Mrusi, yalipewa sifa nyingi ila yaliishia kupigwa na drones za watoto wa Ukraine.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Mengi uliyoeleza ni mambo ya kusikia, tena ya kuokoteza. Patriot umeona vile zinailinda Kyiv, makombora Russia aliyosema hayazuiliki, Patriot inayatungua kirahisi sana. Nadhani umeshuhudia namna s 400 zinavyosambatatishwa tena na drones za kienyeji.Patriot tumeanza kuziona zilishindwa kete na SCUD za Saddam Hussein mpaka Waisrael wakalazimika kuvaa face masks wakihofia chemical agents - Viongozi wa Israel walikasirika sana mpaka wakafikia hatua ya kutaka kuingia vitani ili walinde Taifa lao baada ya kuona kumbe Patriot ADS si lolote si chochote na mifano tunayo mingi ya kuthibitisha ukweli huo - wewe unayo yaita sijui mapipa wenzako Merikani wanabuni kila mbinu ili kuhakikisha silaha hii hatarishi haisambazwi Duniani mdio maana US wanasema atakaye nunua S-400 atawekeza vikwazo vya kiuchumi, hivi inaingia akili kwamba silaha ambayo una uhakika si tishio kwako kuna haja gani ya kutishia mataifa mbali mbali Duniani kwamba wasizinunue silaha hizo za Urusi or else? US inajuwa vyema kwamba S-400 ni tishio kubwa kwa ndege zao na missiles.
Kyiv haipigiki, ptriot ipo imara....
Six hypersonic Russian missiles were shot down over Kyiv on Friday, the Ukrainian air force has claimed.
The Kinzhal missiles were accompanied by a further six Kalibr cruise missiles and two drones, which the air force further stated had also been downed.
Kinzhal translates to “dagger” in Russian. One of the latest weapons utilised by Moscow, the Russian military claims that the air-launched ballistic missile has a range of up to 2,000 kilometres (approximately 1,250 miles).
Flying at 10 times the speed of sound, they are hard to intercept, with Russian president Vladimir Putin previously labelling them “undefeatable.”
A combination of hypersonic speed and a heavy warhead allows the Kinzhal to destroy heavily fortified targets, like underground bunkers or mountain tunnels.
Ukraine war: UK Storm Shadow missiles used in attack on Putin’s Crimea fleet - live
Ukraine spy agency official says ‘we can confirm large landing vessel and submarine were hit’ in blitz on Russia-occupied portwww.independent.co.uk