Leo jioni nilienda kumjulia hali mgonjwa wangu aliyelazwa Cancer Center. Sikuamini macho yangu kutokana na usafi niliouona pale Cancer Center.
Chumba cha wagonjwa ni safi sana na sasa ukija kwenye mashuka ambayo ni meupe ni masafi kweli kweli. Hapa Bugando wodi zote ni safi.
Mimi binafsi ninakupongeza sana pamoja na wafanyakazi walio chini yako.
Nawaomba kuwa muendelee na huo utamaduni wa usafi na wagonjwa watafarijika sana.