Mleta mada wewe ni mtu wa ovyo kabisa.Leo jioni nilienda kumjulia hali mgonjwa wangu aliyelazwa Cancer Center. Sikuamini macho yangu kutokana na usafi niliouona pale Cancer Center. Chumba cha wagonjwa ni safi sana na sasa ukija kwenye mashuka ambayo ni meupe ni masafi kweli kweli. Hapa Bugando wodi zote ni safi. Mimi binafsi ninakupongeza sana pamoja na wafanyakazi walio chini yako. Nawaomba kuwa muendelee na huo utamaduni wa usafi na wagonjwa watafarijika sana.
Makwenzi yanakuhusu TUSHASEMA NI SAFIMleta mada wewe ni mtu wa ovyo kabisa.
Yaani umeenda wodi ya Cancer Center hapo Bugando kumjulia hali mgonjwa wako tu, halafu hapo hapo ukagundua mashuka ya wodi zote za hospitali yote ya Bugandi ni meupe na masafi!!!
Kwa huu ujinga ulioandika, kazi uliyotumwa kuja kusifia hapa JF hautalipwa kabisa. Kajipange upya.
🥰🥰🥰🥰Leo jioni nilienda kumjulia hali mgonjwa wangu aliyelazwa Cancer Center. Sikuamini macho yangu kutokana na usafi niliouona pale Cancer Center.
Chumba cha wagonjwa ni safi sana na sasa ukija kwenye mashuka ambayo ni meupe ni masafi kweli kweli. Hapa Bugando wodi zote ni safi.
Mimi binafsi ninakupongeza sana pamoja na wafanyakazi walio chini yako.
Nawaomba kuwa muendelee na huo utamaduni wa usafi na wagonjwa watafarijika sana.