Hongera kwa Mpishi wa Simba Mpya

Hongera kwa Mpishi wa Simba Mpya

Hao wachezaji wazuri wamesajiliwa kwa ushauri wa kocha gani? Hivi nyie hamjifunzi tu ?

Nikuulize swali Mkuu?

Hivi vision ya Club inabebwa na nani?

Twende, Assume leo umasajili wachezaji kwa pendekezo la Benchikha(mfano) baada ya Miezi mitatu akaondoka zake. Je utavunja timu yote baada ya kuondoka? Ili usajili wachezaji kwa ajili ya Kocha mpya?

Baada ya kugundua Makocha wanakuja na kuondoka timu nyingi, mfano Madrid vision na issue usajili vipo chini ya Rais(Perez) Sporting Director na Scouting team. Hawa watu wanasajili wachezaji kwa Mahitaji ya kikosi/timu na sio Kocha.

Huwezi jenga project kubwa kama hii kumzunguka Kocha, akiondoka tu mnaanza upya.

Unachukua Kocha kulingana na project yako, hapo ni rahisi kujenga timu. Kocha atakuja kujazia nyama tu. Kocha atakuja kuendana na mfumo/vision na falsafa ya timu.
 
Japo utambulisho bado haujakamilika, ila nimechagua kuja kutoa siri. Nimechagua kuja kutoa pongezi.

Katika nyuzi zilizopita nilitoa angalizo kuwa huwezi hitaji aina fulani ya mpira, then unaenda sokoni kuchukua mchezaji au kocha ambaye hana sifa za aina au falsafa ya kile unachokitaka. Nikatolea mfano yaani unataka mpira biriani, Jogo bonito , Beautiful/Sexy football, alafu unaenda kumchukua José Mourinho then ukategemea Sexy Football.

Hivyo hivyo upande wa wachezaji: Timu inahitaji wachezaji runners kama AS Vita/RS Berkane then unaenda kuchukua the like of Chama/Rally Bwalya then unategemea atakimbia kama the like of Kisinda e.t.c ni ngumu kufanikiwa. Haimanishi hao wachezaji ni wabaya hapana, bali strength zao ni tofauti na kile unachokihitaji, ambacho ni mbio, vijana wa mjini wanasema mabioo. Nenda kaangalie AS Vita sasa sokoni kila mchezaji anaesajiliwa ni mbio, kama ni timu ya marathon, haha, ila tayari umepata point yangu.

Turudi kwenye Simba, katika misimu miwili iliyopita Simba ilikua inalia kuwa falsafa ya mpira wao imepotea, lakini angalia Makocha waliokuwa wanaletwa Zolan, Mr. Objective, hata Benchikha mwenyewe. Ikafika kilio ikawa timu yetu haina kasi, lakini kwenye Kikosi ambaye wenye uwezo wa kutoa hiyo energy ni Kibu, Mzamiru hadi pale tulipo waona wale watoto kama Chasambi n.k., Wengine kuhitaji kuwaona wanatoa kasi basi ilikuwa ni kuwa punguzia umri wa kuishi kama Chama, Ngoma, Sarr, Luis, bora hata Saidi etc. Mchezaji hawezi toa kile ambacho hana.

Ila sasa leo, angalia nature na sifa ya wachezaji wanaosajiliwa? Ukitoa kwa wale ambao tayari wametambulishwa kama Vile Mukwala, Mutale wote ni sharp, fast, utulivu wa hali ya juu, na skills zote kwenye nafasi zao, wana energy kubwa wakiwa na mpira pia wasipokuwa na mpira. Energy, njaa ya mafanikio, Skills na Umri. Hivi ndivyo vimeweka kwenye ramani ya kuijenga Simba mpya. Ndio maana hata upande wa Kocha japo sikubaliani nao, ila naelewa kwanini wamefuata kocha msaidizi wa Raja Casablaca. Lengo ni kutengeneza Raja Casablanca ya chini ya Jangwa la Sahara. Kwa wale ambao mmebahatika kuona hata wale wachezaji ambao bado hawajatangazwa basi utakubaliana na lengo lao la kuitengeneza Simba katika falsafa ya uchezaji wa Raja Casablaca. Naamini hata kama itachukua muda mrefu lakini hii project itaenda kufanikiwa maana kile wanachokizungumza kinaendana na utendaji.

Hivyo basi natoa poangezi kwa wale wote wanaohusika katika ujenzi wa Simba mpya. Hata kama hii project haitafanikiwa katika msimu ujao, maana project kubwa kama hii huwezi ijenga usiku mmoja. Basi katika Msimu 25/26 hii Simba itakua bora sana.
Mashabiki wa bongo tunapenda haraka, then tunachukia haraka.Kwenye hizi sajili kwa timu hizi za Kko,hao wachezaji si wakuwapapalikia sana weka akiba ya maneno,then wape mechi tano baada ya hapo ndipo uanze kutoa sifa hizi.
 
Thiiimbaaaa 5imba.
 
Za ndaaaani ni kuwa linaandaliwa kosi la kurudisha zile 5 za msimu uliopita. Kile kiporo lazima kiliwe kabla hakijachacha. Nipo hapa kuwahakikishia zile 5 zinarudi msimu huu wa 2024-2025. Hii ni moja ya kipaumbele cha Simba msimu huu.

Inawezekana Simba imejifunza kuwa ugali mzuri unaanza kwa kwanza kuandaa uji mzuri.
 
Jean Charles Ahoua(22) ni Mnyama.

Huyu jamaa ni Baller. 🫡

Nashindwaje kutoa pongezi kwa mpishi wa Simba mpya?

Hofu yangu, kwa talent aliekuwa nayo, na umri na discpline yake, Sidhani kama tunaweza kumlinda huyu jamaa misimu ijayo.

Haya ni material ya kucheza League 2 - France. 🫡
 
Huu ndiyo msimu wa furaha kwa mashibiki wengi wa simba. Na kilele chake ni simba day! Baada ya hapo, makasiriko na huzuni inaanza kidogo kidogo.

Mkuu huu msimu naona utakua tofauti kidogo.

Muda wa kufurahi wanasimba unakaribia.
 
Mashabiki wa bongo tunapenda haraka, then tunachukia haraka.Kwenye hizi sajili kwa timu hizi za Kko,hao wachezaji si wakuwapapalikia sana weka akiba ya maneno,then wape mechi tano baada ya hapo ndipo uanze kutoa sifa hizi.

Upo sahihi Mkuu.

Ila kuna wakati kitu bora, au jambo jema huonekana mapema.

Huu usajili ni bora Mkuu.
 
Jean Charles Ahoua(22) ni Mnyama.

Huyu jamaa ni Baller. 🫡

Nashindwaje kutoa pongezi kwa mpishi wa Simba mpya?

Hofu yangu, kwa talent aliekuwa nayo, na umri na discpline yake, Sidhani kama tunaweza kumlinda huyu jamaa misimu ijayo.

Haya ni material ya kucheza League 2 - France. 🫡
Muda utaongea.
 
Bro hii ni mali kweli au ndo tu mpe muda azoee mazingira?
 
Mkuu mara nyingi huwa ni mzito sana kusema mambo yajayo bila ukakasi ila leo nitasema:

Hii ni mali Mkuu. Narudia tena, huyu ni mchezaji mzuri Mkuu.

Pia niseme huu ndio usajili bora kwa Simba, na sio Simba tu labda hata kwa Tanzania katika miaka ya hii karibuni.

Kushindwa kufanya vizuri katika league hii basi hiyo itakua ni miujiza tu, na sio jambo ambalo linategemewa.

Huu sio utabiri, huu ni uhalisia Mkuu.
 
Waaaooooooh nakubali nakubali
Je,unaionaje Simba yetu siku zijazo?
 
Japo utambulisho bado haujakamilika, ila nimechagua kuja kutoa siri. Nimechagua kuja kutoa pongezi.

Katika nyuzi zilizopita nilitoa angalizo kuwa huwezi hitaji aina fulani ya mpira, then unaenda sokoni kuchukua mchezaji au kocha ambaye hana sifa za aina au falsafa ya kile unachokitaka. Nikatolea mfano yaani unataka mpira biriani, Jogo bonito , Beautiful/Sexy football, alafu unaenda kumchukua José Mourinho then ukategemea Sexy Football.

Hivyo hivyo upande wa wachezaji: Timu inahitaji wachezaji runners kama AS Vita/RS Berkane then unaenda kuchukua the like of Chama/Rally Bwalya then unategemea atakimbia kama the like of Kisinda e.t.c ni ngumu kufanikiwa. Haimanishi hao wachezaji ni wabaya hapana, bali strength zao ni tofauti na kile unachokihitaji, ambacho ni mbio, vijana wa mjini wanasema mabioo. Nenda kaangalie AS Vita sasa sokoni kila mchezaji anaesajiliwa ni mbio, kama ni timu ya marathon, haha, ila tayari umepata point yangu.

Turudi kwenye Simba, katika misimu miwili iliyopita Simba ilikua inalia kuwa falsafa ya mpira wao imepotea, lakini angalia Makocha waliokuwa wanaletwa Zolan, Mr. Objective, hata Benchikha mwenyewe. Ikafika kilio ikawa timu yetu haina kasi, lakini kwenye Kikosi ambaye wenye uwezo wa kutoa hiyo energy ni Kibu, Mzamiru hadi pale tulipo waona wale watoto kama Chasambi n.k., Wengine kuhitaji kuwaona wanatoa kasi basi ilikuwa ni kuwa punguzia umri wa kuishi kama Chama, Ngoma, Sarr, Luis, bora hata Saidi etc. Mchezaji hawezi toa kile ambacho hana.

Ila sasa leo, angalia nature na sifa ya wachezaji wanaosajiliwa? Ukitoa kwa wale ambao tayari wametambulishwa kama Vile Mukwala, Mutale wote ni sharp, fast, utulivu wa hali ya juu, na skills zote kwenye nafasi zao, wana energy kubwa wakiwa na mpira pia wasipokuwa na mpira. Energy, njaa ya mafanikio, Skills na Umri. Hivi ndivyo vimeweka kwenye ramani ya kuijenga Simba mpya. Ndio maana hata upande wa Kocha japo sikubaliani nao, ila naelewa kwanini wamefuata kocha msaidizi wa Raja Casablaca. Lengo ni kutengeneza Raja Casablanca ya chini ya Jangwa la Sahara. Kwa wale ambao mmebahatika kuona hata wale wachezaji ambao bado hawajatangazwa basi utakubaliana na lengo lao la kuitengeneza Simba katika falsafa ya uchezaji wa Raja Casablaca. Naamini hata kama itachukua muda mrefu lakini hii project itaenda kufanikiwa maana kile wanachokizungumza kinaendana na utendaji.

Hivyo basi natoa poangezi kwa wale wote wanaohusika katika ujenzi wa Simba mpya. Hata kama hii project haitafanikiwa katika msimu ujao, maana project kubwa kama hii huwezi ijenga usiku mmoja. Basi katika Msimu 25/26 hii Simba itakua bora sana.
Mukifanya vibaya lawama na matusi yaende kwa hao ulio wasifia leo, mzee wangu Mangungu mumkome.
 
Ila matola stoke kwenye benchi la ufundi.
 
Back
Top Bottom