Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Aaaah wapi.Msimu ujao wakati unaitaja Simba basi utaitaja kwa heshima na hofu ndani yake. [emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaah wapi.Msimu ujao wakati unaitaja Simba basi utaitaja kwa heshima na hofu ndani yake. [emoji1]
Kama una akili na unajua mpira pengine umeitwa mbele ya makocha nguli afrika akina cisse na wenzake, wanakusikiliza, umeulizwa chambua uchezaji nammfumo uliotumika na simba dakika zote 90, na kuchambua kila mchezaji ..Simba bado sana, haipo imara kabisa.Itapigwa na yanga
Asanteni sana. Kilio changu kimetamatika. Tayari tumepata Winga wa Maana.Ila, kama inawezekana naomba turudi sokoni, wengi nimeona wanaomba namba 10 ila mimi naomba Winga. Wakati naandika huu uzi sikutegemea kama yatatokea yaliyotokea kati ya Simba na Kibu.
Naheshimu uwepo wa Chasambi, Balua, Mutale ila naombeni mtafute winga wa kusaidia hawa vijana.
Tusifosi either Ahoua atokee pembeni hatatusaidia, ataonekana ni mzigo tu.
Mimi naomba winga tu. Hilo ndilo ombi langu.
Balua yes, ila tusiamini sana wachezaji wa matamasha.
Ila, kama inawezekana naomba turudi sokoni, wengi nimeona wanaomba namba 10 ila mimi naomba Winga.