Hongera kwa Mpishi wa Simba Mpya

Hao wachezaji wazuri wamesajiliwa kwa ushauri wa kocha gani? Hivi nyie hamjifunzi tu ?

Nikuulize swali Mkuu?

Hivi vision ya Club inabebwa na nani?

Twende, Assume leo umasajili wachezaji kwa pendekezo la Benchikha(mfano) baada ya Miezi mitatu akaondoka zake. Je utavunja timu yote baada ya kuondoka? Ili usajili wachezaji kwa ajili ya Kocha mpya?

Baada ya kugundua Makocha wanakuja na kuondoka timu nyingi, mfano Madrid vision na issue usajili vipo chini ya Rais(Perez) Sporting Director na Scouting team. Hawa watu wanasajili wachezaji kwa Mahitaji ya kikosi/timu na sio Kocha.

Huwezi jenga project kubwa kama hii kumzunguka Kocha, akiondoka tu mnaanza upya.

Unachukua Kocha kulingana na project yako, hapo ni rahisi kujenga timu. Kocha atakuja kujazia nyama tu. Kocha atakuja kuendana na mfumo/vision na falsafa ya timu.
 
Mashabiki wa bongo tunapenda haraka, then tunachukia haraka.Kwenye hizi sajili kwa timu hizi za Kko,hao wachezaji si wakuwapapalikia sana weka akiba ya maneno,then wape mechi tano baada ya hapo ndipo uanze kutoa sifa hizi.
 
Thiiimbaaaa 5imba.
 
Za ndaaaani ni kuwa linaandaliwa kosi la kurudisha zile 5 za msimu uliopita. Kile kiporo lazima kiliwe kabla hakijachacha. Nipo hapa kuwahakikishia zile 5 zinarudi msimu huu wa 2024-2025. Hii ni moja ya kipaumbele cha Simba msimu huu.

Inawezekana Simba imejifunza kuwa ugali mzuri unaanza kwa kwanza kuandaa uji mzuri.
 
Jean Charles Ahoua(22) ni Mnyama.

Huyu jamaa ni Baller. 🫡

Nashindwaje kutoa pongezi kwa mpishi wa Simba mpya?

Hofu yangu, kwa talent aliekuwa nayo, na umri na discpline yake, Sidhani kama tunaweza kumlinda huyu jamaa misimu ijayo.

Haya ni material ya kucheza League 2 - France. 🫡
 
Huu ndiyo msimu wa furaha kwa mashibiki wengi wa simba. Na kilele chake ni simba day! Baada ya hapo, makasiriko na huzuni inaanza kidogo kidogo.

Mkuu huu msimu naona utakua tofauti kidogo.

Muda wa kufurahi wanasimba unakaribia.
 
Mashabiki wa bongo tunapenda haraka, then tunachukia haraka.Kwenye hizi sajili kwa timu hizi za Kko,hao wachezaji si wakuwapapalikia sana weka akiba ya maneno,then wape mechi tano baada ya hapo ndipo uanze kutoa sifa hizi.

Upo sahihi Mkuu.

Ila kuna wakati kitu bora, au jambo jema huonekana mapema.

Huu usajili ni bora Mkuu.
 
Muda utaongea.
 
Bro hii ni mali kweli au ndo tu mpe muda azoee mazingira?
 
Bro hii ni mali kweli au ndo tu mpe muda azoee mazingira?

Mkuu mara nyingi huwa ni mzito sana kusema mambo yajayo bila ukakasi ila leo nitasema:

Hii ni mali Mkuu. Narudia tena, huyu ni mchezaji mzuri Mkuu.

Pia niseme huu ndio usajili bora kwa Simba, na sio Simba tu labda hata kwa Tanzania katika miaka ya hii karibuni.

Kushindwa kufanya vizuri katika league hii basi hiyo itakua ni miujiza tu, na sio jambo ambalo linategemewa.

Huu sio utabiri, huu ni uhalisia Mkuu.
 
Waaaooooooh nakubali nakubali
Je,unaionaje Simba yetu siku zijazo?
 
Mukifanya vibaya lawama na matusi yaende kwa hao ulio wasifia leo, mzee wangu Mangungu mumkome.
 
Ila matola stoke kwenye benchi la ufundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…