Hongera kwa Naibu Waziri Mkuu: Upatikanaji wa Umeme na Mafuta vimeimarika sana

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Hakika naona utendaji kazi mzuri sana.

Huna kelele lakini hupumziki na kazi zako zinaeleweka.

1. Hapo nyuma kukatika kwa umeme kulikuwa hakuna formula, sasa hivi angalau - japo kaza tena ili mambo yaende.

2. Hapo nyuma upatikanani wa mafuta ulikuwa wakusua sua. Na bei zilikuwa zinapanda kiholela. Sasa hivi walau tunapumua.

Bwana yule ni ntu wa deal tu. Ni wa kukataa kama ukoma. 2024 nawek kambi kule bumbuli ili asitoboe kabisa. Kibli na mali alokula zinamtosha sasa.
 
Jana usiku nimelala bila umeme. Huo umeme unapatikana wapi?

Shida yenu mpo dhidi watu na wala sio matokeo. Badala mjikite kushauri njia ya kufanya tuna umeme muda wote kazi yenu kuendesha siasa za chuki na dhidi ya watu tu!
 
Umeme upi unaongelea. Huku nilipo ni mjini lakini tukipata umeme zaidi ya masaa 10 kwa siku, huwa tunapiga magoti na kushukuru Mungu.

Hapa jana nimelala hakuna umeme, nimeamka hakuna umeme na hujarudi hadi muda huu naandika hii comment.
 
Lile Jangili la Bumbuli sahivi litakuwa linapata supu five star hotel
 
Pia Soma
 
Pia Soma
 
3. Ameleta mvua ili mabwawa yajae maji.
 
Mkuu yule anaeleweka...Ni mpiga dili babu kubwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…