Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe


Hatari
 
Kuna uchawi mweusi na uchawi mweupe

Kutumia chumvi kwa namna hii ni sehemu ya uchawi mweupe

Hata kwenda kanisani kusali au kwenda msikitini kuswali ni sehemu ya uchawi mweupe (white magic)

Halafu kuna aina nyingine nyingi za uchawi kama uchawi wa jikoni, wa nyumbani, wa mahali pa kazi, uchawi wa mwili, uchawi wa maneno au matamshi (spells) Nk Nk

Kuna aina nyingi sana za uchawi lakini uchawi mbaya ni ule wa kwenda kumdhuru mwingine kimazingara hasa ambaye hajakukosea chochote
 
Wala ni imani yako,hiyo chumvi wala haijabadilisha chochote. Still kwa imani yako bila chumvi,mambo yako yangekuwa fresh tu.Ninakumbuka kuna wazee kwenye nyumba za wazee huko mambele,kuna wazee wanapenda dawa na Sometimes wanakuwa addicted kabisa,sasa unakuta umempa dawa saa sita ,saa saba anataka dawa tena anakuambia anasikia maumivu,kinachofanyika wanapewa placebo,na ukimuuliza anaendeleaje anakuambia yupo fiti. Wakati umempa dawa ya uongo.
Ndo hapo unagundua vitu vingine mtu ni kisaikolojia zaidi.
 
watu wa JF sio wa.kuwapa siri kama hizi kwa sababu asilimia kubwa hawako serious.

watakutukana na watakukejeli.

ukitaka kuona manufaa ya chumvi ya.mawe, itumie na Muosha fedha!

weka manuizi yako kabla hujaoga.

usiiogee na sabuni, Oga kwanza kawaida kisha oga mchanganyiko wa chumvi ya mawe na Muosha Fedha
huo hapa mjani wa Muosha Fedha

Popoa hayo majani, kisha anika Juani mpaka yakauke. kama una access na kinu kidogo basi Twanga kisha anika


Baada ya kutwanga na kuanika.
Muosha Fedha ni dawa ya Presha, mikosi nuksi vijicho MVUTO wa biashara wanawake e.t.c
 
Ndiyo ni imani lakini pia chumvi hasa ya mawe ya baharini inao uwezo wa kufukuza Nguvu mbaya yaani bad energy, hata miti ukiipanda kuzunguka nyumba yako inasaidia kufukuza Nguvu mbaya (bad energy)

Ni kweli maji ya Baraka ni mchanganyiko wa maji ya mvua na chumvi ya mawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…