Hongera Lema, ukweli hata kama mchungu shuruti usemwe

Huu ndiyo ulio ukweli mchungu:

View attachment 2443641

Mkwamo wetu uko hapa. Uhai wetu utarejea kwa kujikwamua kutoka hapa.

Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa ule upande mwingine uliojaa ulaghai na ubinafsi uliopitiliza.
Ninavyokumbuka kilichomkimbiza Lema na Lisu ni kumuogopa Dkt Magufuli asije akawaua, hata Lisu baada ya kuangukia pua uchaguzi alijifanya kukimbilia ubalozi na kuleta taharuki, na Dkt Magufuli alipofariki Lema na Lisu waliungana na memba wa NGO yao kushagilia na kusherehekea kifo cha mpendwa wetu. So aache visingizio arudi haraka Tanzania, maana yeye ndiye alianzisha usemi wa kuupiga mwingi. Aacha kuhamisha gori huyu mwizi wa magari na jambazi na tapeli kubwa
 
ushawai kushambuliwa na risasi au kuwindwa !
 
Wewe umemueelewa Godbless Lema!
Kashauri vikao vingi havitasaidia kama sheria mama hazifuatwi, nafikiri ni ushauri mzuri, Lema angekuwa mwanaCCM kamshauri hivyo mama leo UVCCM wangekuwa wanashindana kutoa matamko kuwa anampinga mama afukuzwe. Tumeona kwa Ndugai na Bashiru. Hii ndiyo tofauti ya UVCCM na BAVICHA.
 
Ninavyokumbuka kilichomkimbiza Lema na Lisu ni kumuogopa Dkt Magufuli asije akawaua, hata Lisu baada ya kuangukia pua uchaguzi alijifanya kukimbilia ubalozi na kuleta taharuki, na Dkt Magufuli alipofariki Lema na Lisu waliungana na memba wa NGO yao kushagilia na kusherehekea kifo cha mpendwa wetu. So aache visingizio arudi haraka Tanzania, maana yeye ndiye alianzisha usemi wa kuupiga mwingi. Aacha kuhamisha gori huyu mwizi wa magari na jambazi na tapeli kubwa

ushawai kushambuliwa na risasi au kuwindwa !
 
Upande uliojaa ulaghai ni ule wa Chadema kwenye Maridhiano kwa sababu Mbowe amesema hawezi kuwaambia wanachama wake kinachojadiliwa

Wakati Mwenyekiti wa CCM mh Samia ameueleza Mkutano mkuu wa Chana chake kuwa wao ndio Waamuzi kwenye Maridhiano kwa sababu ni Chana Tawala kilichopewa ridhaa ya kuongoza na Wananchi

Upande uliojaa ulaghai ni ule ambapo ungependa kwa gharama yoyote iwepo migawanyiko Chadema na ikibidi baina yetu wananchi hata kama ni kwa sababu za kijinga.

Ninatambua kwa utambulisho wako ulitajwa hapa:

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

Zingatia msimamo wa Lema ndiyo ulio msimamo wa Chadema. Ndiyo ulio msimamo wetu.

Nani mwenye akili zake ataupinga msimamo wa Lema hata kama yeye siyo Chadema?
 
ushawai kushambuliwa na risasi au kuwindwa !
NGO ile ni kikundi cha waharifu na Magaidi wakubwa. Walimshambulia Lisu, walishawahi muua chacha wangwe, Zitto mwenye mlamba asali mwenzao aliponea chupuchupu. Ni genge la wahuni kabisa
 
Toka mwanzo nilijuwa hivyo vikao vya maridhiano ni utapeli wa mchana kweupe. Na CDM waliamua kuzungumza maana wanajua hata wakisema wafanye mikutano kwa nguvu, wataishia kuumizwa na kubambikiwa kesi.

CCM hawako tayari kwa maridhiano maana wanajua hawana ushawishi kwa umma, hivyo wanatumia hivyo vikao kama sehemu ya kutuliza pressure ya wapinzani kwenye kutawala. Inshort vikao vya maridhiano ni kupotezeana muda.
 
Toka mwanzo nilijuwa hivyo vikao vya maridhiano ni utapeli wa mchana kweupe. Na CDM waliamua kuzungumza maana wanajua hata wakisema wafanye mikutano kwa nguvu, wataishia kuumizwa na kubambikiwa kesi. CCM hawako tayari kwa maridhiano maana wanajua hawana ushawishi kwa umma, hivyo wanatumia hivyo vikao kama sehemu ya kutuliza pressure ya wapinzani kwenye kutawala. Inshort vikao vya maridhiano ni kupotezeana muda.

Rasmi CDM wajitoe kwenye vikao hivi:
IMG_20221210_141934_469.jpg
 
NGO ile ni kikundi cha waharifu na Magaidi wakubwa. Walimshambulia Lisu, walishawahi muua chacha wangwe, Zitto mwenye mlamba asali mwenzao aliponea chupuchupu. Ni genge la wahuni kabisa

Kwani wewe unaona pana uhalali au haja yoyote ya kujadili au kutafuta maridhiano kwenye lolote lililopo kisheria?
 
Wanachokifanya CCM kwenye vikao vya maridhiano ni utapeli, haiwezekani Kinana, Chongolo, na Shaka, wanazunguka nchi nzima kufanya mikutano ya kisiasa, lakini kwa wapinzani bado wanatakiwa wakakae kwenye vikao vya maridhiano, huo ni utapeli.
Ccm ni wahuni
 
Katiba 1977, Kifungu cha 20. Ibara ndogo ya (1) Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani, na hasa zaidi kuanzisha au kujiunga na vyama au mashirika yaliyoanzishwa kwa madhumuni ya kuhifadhi au kuendeleza imani au maslahi yake au maslahi mangineyo.
 
Upande uliojaa ulaghai ni ule ambapo ungependa kwa gharama yoyote iwepo migawanyiko Chadema na ikibidi baina yetu wananchi hata kama ni kwa sababu za kijinga.

Ninatambua kwa utambulisho wako ulitajwa hapa:

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

Zingatia msimamo wa Lema ndiyo ulio msimamo wa Chadema. Ndiyo ulio msimamo wetu.

Nani mwenye akili zake ataupinga msimamo wa Lema hata kama yeye siyo Chadema?
Ni kweli Lema hafagilii Maridhiano
 
Back
Top Bottom