Hongera Lukuvi, kazi yako tumeiona

Hongera Lukuvi, kazi yako tumeiona

Ni kweli Mheshimiwa Lukuvi,amejitahidi kuchapa kazi wizara ya Ardhi.
-Lakini Kwa kipindi chote ambacho Lukuvi amekaa wizara ya Ardhi,ameshindwa kuajiri maafisa ardhi na wapimaji wa ardhi wa kutosha,ili kukomesha ujenzi holela ,
-wizara imetoa vibali kwa taasisi binafsi (ambazo nyingi ni kampuni za makamishina au wakuu wa idara za ardhi) kupima ardhi kwa gharama kubwa.
-Kampuni nyingi za urasimishaji makazi ni za wakubwa hao.

Ushauri kwa Waziri Mabula na Riziwani
- Ni kuhakikisha kuwa wizara ya Ardhi inaajiri maafisa wa ardhi na wapimaji wa ardhi na mipango miji wa kutosha kwenye halmashauri za wilaya zote.
-wizara inapima viwanja vya kutosha,ili watu wajenge kwenye viwanja vilivyopimwa.
-wizara inaweka mfumo mzuri wa kugawa viwanja na kutoa hati miliki bila mikingamo, ili kuondoa migogoro ya ardhi nchini.
Ni yeye anaajiri au wizara husika?
 
Vyeo visivyojulikana!👇😁😁😁
1642570897_1642570897-picsay.jpg
 
Nukuu
"Hatuwezi kuiachia Zanzibar ishikwe na Waislamu bila udhibiti ------Lukuvi, akiwa kanisani
 
Hawa wakongwe wa CCM, Lukuvi, Ndugai, Polepole, Bushiru na Paramagamba - imekuwaje awamu ya 6 ghafla bin vuuu chaliii ? kunani ?
 
Salam!

Naweza kusema Mh. William Lukuvi ni miongoni mwa viongozi wachache walioweza kusifiwa kwa utendaji wao angali wakiwa hai

Jana baada orodha ya mawaziri waliochwa kwenye baraza la mawaziri kutoka nimeona kwenye mitandao ya kijamii na huku mtaani watu wengi wakiumia sana kwanini mh Rais kamuacha lukuvi wakati huyu kiongozi alikuwa ni mchapa kazi mahiri.

Kinachonishangaza kwanini watu wengi wameuzunishwa na kuondolewa kwake. Hakika hapa kuna kitu cha kujifunza kutoka kwa kiongozi huyo

Kwenu viongozi tunapopewa nafasi za kutumikia taifa hili tujitahid kuzitendea haki na tusiwe waimba mapambio tuige mfano wa Mh Lukuvi.

Kila la kheri William Lukuvi katika majukumu yako.
Si Bora angekua mshenzi tu, kawa mwadilifu, katolewa, wahuni waleeeeeh, wanapeta.

Kuishi Bongo ni zaidi ya uwazavyo. Ikizubaa tu, ndo unajua hujui.
 
Back
Top Bottom