Najua hapa utaanza mjadala wa hatari,lakini nunekuelewa ubachoongelea,tena nimekishuhudia,....kwa watu wangu wa karibu...kifi sio kitu cha kufurahisha,wala kuinenea maiti si jambo zuri kwani haiwezi kujitetea,lakini umrnigusa sana...wengi tumeishi kwa kushuhudia vipigo vya mbwa mwizi kwa wazazi wetu kiasi kwamba sisi wenyewe tunakuja kuwafanyia wenza wetu hasa wanaume kuwaasulubu wanawake...kwa kweli let us take a step back and reflect in. Wht is happening around us..leo hii kipigo cha Lulu wala hakiwezi kuangaliwa mara mbili..ht huko polisi naamini atakuwa treated km mbwa mwizi...guilty be4 declared innocent..hakuna anayewaza majeraha yake wala nn...angalia kimo cha lulu angalia na kimo cha marehemu halafu anza kupata picha mkono unanayanyuliwa vipigo vinaanza...i had a friend naye alipokea kichapo kwa hubby wake akanipigia katikati ya hiyo sekeke,nikamwambia just run for ur life...nashuiuru mungu kuwa she is still breathing today...guys vipigo kama hivi haupangi leo nitaua mtu,it happens as accidents,but unaooanza kushusha mkono kwa mtoto wa kike,it can easily turn into tragedy...lulu is a street urchin anajua kujilinda,Wema alikuwa anadundwa anasema ni mapenzi...all i want to say is that its not right to hit a woman...lets stop this horrible vicious cycle...i have two sons and counting,i pray and work hard everysingle day to raise them to respect women...i am resting my case....