Hongera LULU umewakilisha mateso ya wanawake Duniani

Cant comment una uhuru wa kutoa maoni yako, wish the dead could speak tungepata story za upande wa pili wa shilingi, but is gone RIP Steve will be the last person to judge u
 
Kifo si kitu chema hata kidogo. Lakini kitendo cha Lulu kusababisha mauti ya Kanumba ni dhahiri kuwa amewakilisha mateso ya wanawake wengi duniani.
1. Je, ni wanaume wangapi wako tayari wapenzi wao waone/kushika simu zao ili kuona ni akina nani wanaongea nao?
2. Kwa nini wao siku zote wanawafikiria vibaya wenzao, au ndiyo zao?
3. Je, misuli yao ndiyo huwafanya kuwaonea akina mama?

Hongera mwanangu Lulu kwani akina Sofia na Biswalo wako bize kututangazia siasa huku vitendo wakivificha. Nasema hivi kwani siku moja ndugu mmoja alimpiga mkewe kipigo cha kumwangusha juu ya vigae(nyumba imetandikwa vigae), yule mama akafikia kizingiti cha chumba na bafu ( Master bedrm) nakupasuka kichwa. Damu zilimtoka yule mama kama vile uchinjavyo ng'ombe. Bahati alikuwa mwelewa akalifunga jelaha lake na kuelekea hospital, mme akabaki amelala.

kosa la kipigo hicho lilikuwa kuwa mke kawasha taa wakati mmewe alikuwa anataka kulala! Basi.

Nasema umewakilisha akina mama nikiikumbuka ile kesi ya mwanasheria aliye shinda kesi ya mauaji ya mkewe mfanyakazi wa Posta - Dar.

Mtetezi wako ni Muumba wako na pepo wako mlinzi (your guiding spirit)

We mtu (bila shaka ni mwanamke wewe) ni shetani kabisa.., yaani unafurahia kifo cha mtu?!! You must be of the devil if not a devil yourself.
 
Kifo si kitu chema hata kidogo. Lakini kitendo cha Lulu kusababisha mauti ya Kanumba ni dhahiri kuwa amewakilisha mateso ya wanawake wengi duniani.
1. Je, ni wanaume wangapi wako tayari wapenzi wao waone/kushika simu zao ili kuona ni akina nani wanaongea nao?
2. Kwa nini wao siku zote wanawafikiria vibaya wenzao, au ndiyo zao?
3. Je, misuli yao ndiyo huwafanya kuwaonea akina mama?

Hongera mwanangu Lulu kwani akina Sofia na Biswalo wako bize kututangazia siasa huku vitendo wakivificha. Nasema hivi kwani siku moja ndugu mmoja alimpiga mkewe kipigo cha kumwangusha juu ya vigae(nyumba imetandikwa vigae), yule mama akafikia kizingiti cha chumba na bafu ( Master bedrm) nakupasuka kichwa. Damu zilimtoka yule mama kama vile uchinjavyo ng'ombe. Bahati alikuwa mwelewa akalifunga jelaha lake na kuelekea hospital, mme akabaki amelala.

kosa la kipigo hicho lilikuwa kuwa mke kawasha taa wakati mmewe alikuwa anataka kulala! Basi.

Nasema umewakilisha akina mama nikiikumbuka ile kesi ya mwanasheria aliye shinda kesi ya mauaji ya mkewe mfanyakazi wa Posta - Dar.

Mtetezi wako ni Muumba wako na pepo wako mlinzi (your guiding spirit)
Huna tofauti na shetwani!
 
What kind ov moza r u?do u ve children?if yes how would u fil if dz happen 2 ur son?how would Kanumba's mother think about u 2 her son n family?USHINDWE!!

kwani Lulu hana mama?
Mamaake haumii?
Kitendo cha Kanumba tu kujihusisha kimapenzi na huyo mtoto alikosea.
Na anamjua vizuri Lulu kilichomfanya alete wivu
hadi kutaka simu yake ni ni nini?
KWANINI ALIMLETEA UBABE? Nitapiga kelele kumtetea huyu binti popote nitakapopata nafasi ya kusema,Lulu ni mhanga tu kwa hili
 
Kanumba has already paid for it, Lulu got nothing to pay for. Kanumba was more than changudoa and this explains why he suffered all this.[/QUOTE
Waswahili wanasema mficha maradhi mauti umfichua kiuhalisia msani ni kioo cha jamii ktk fikra zangu na kwa njinsi nilivyokuwa namuheshimu kanumba sikutegemea kama alikuwa anadate na lulu,kwanza she is like his young sister na walezi walikuwa wanaamini kanumba alikuwa anamuongoza na kumuelekeza mambo mema lulu kuliko kuwa mpenzi wake,sawa tulikuwa hatupaswi kujua uhusiano wao ila kama wangejitambulisha mapema mi nadhani walio wengi hapa ndani wangelaumu uhusiano wao,mauti yamefichua yote haya no one knows mungu anasababu zake za kufanya hivi so we have to take care natunayoyafanya,unatuficha ss na sio yeye na akiamua akuumbua anakuumbua anytime,all in all hakuna mtimilifu in his or her life,mungu amemchukua kama anavyowachukuwa wapendwa wetu wengine mapenzi ya mungu yametimia,sisi sote ni viumbe na kwake tutarejea,Tumuombe mwenyezi Mungu amsamehe zambi zake,Amen

Umeona eeh!
Hiki kifo ni aibu ya Kanumba kabisa.
Naumia sana kwa huyu binti na mamaake(wote siwajui)
 
Kifo si kitu chema hata kidogo. Lakini kitendo cha Lulu kusababisha mauti ya Kanumba ni dhahiri kuwa amewakilisha mateso ya wanawake wengi duniani.
1. Je, ni wanaume wangapi wako tayari wapenzi wao waone/kushika simu zao ili kuona ni akina nani wanaongea nao?
2. Kwa nini wao siku zote wanawafikiria vibaya wenzao, au ndiyo zao?
3. Je, misuli yao ndiyo huwafanya kuwaonea akina mama?

Hongera mwanangu Lulu kwani akina Sofia na Biswalo wako bize kututangazia siasa huku vitendo wakivificha. Nasema hivi kwani siku moja ndugu mmoja alimpiga mkewe kipigo cha kumwangusha juu ya vigae(nyumba imetandikwa vigae), yule mama akafikia kizingiti cha chumba na bafu ( Master bedrm) nakupasuka kichwa. Damu zilimtoka yule mama kama vile uchinjavyo ng'ombe. Bahati alikuwa mwelewa akalifunga jelaha lake na kuelekea hospital, mme akabaki amelala.

kosa la kipigo hicho lilikuwa kuwa mke kawasha taa wakati mmewe alikuwa anataka kulala! Basi.

Nasema umewakilisha akina mama nikiikumbuka ile kesi ya mwanasheria aliye shinda kesi ya mauaji ya mkewe mfanyakazi wa Posta - Dar.

Mtetezi wako ni Muumba wako na pepo wako mlinzi (your guiding spirit)

Hebu nenda pale msibani useme maneno haya! unajua ni kweli kila upande unaumia kwa nafasi yake si kwa familia ya LULU wala ya KANUMBA,lakini kumbuka upande mmoja wamepoteza kitu ambacho hakiwezi kurudi tena,jamani hivi angekuwa mtoto wako ni kanumba ungethubutu kusema hayo?Mwombee LULU atoke akuchukulie mume wako mama!
 
Vipi humuamini mumeo?
 
Imagine mtu anaweza kufagilia mtu kusababisha kifo cha mwingine, hv kwani ilikuwa lazima uandike chochote humu ndani:A S 576:
 
Point of correction huyo lulu anakuwakilisha wewe, sio wanawake wote usigeneralize, lazima utakuwa pacha wa lulu
 
Haswaa aliyejitetea hata kuishi (survive) kwani tumesikia ana majeraha mengi laukama angeuliwa yeye,

Utasikia mengi sana mwaka huu maana unaonekana ni bingwa wa kusikia. Nitakuombea roho wa Mungu akuponye utokwe na pepo la kusikia mambo.
 
Duh wewe dada naamini kuwa, huna mtoto, mchumba wala mume, mama wala kaka, na pia huenda huna kizazi, mtu mwenye kufurahi kuona mtu akipoteza maisha ni shetani maana ndo muuaji, wasalimu kuzimu.
 
acheni kusemasema,huyo mama amesema anayojickia kweny moyo wake,khyo mcmuhukum kwa mengi. kaeni subirini haki itendeke,kila mmoja awe na subira. Hakuna mkwel anaejua ni lulu,marehemu na Mungu.
 
hakika wewe una roho mbaya sana, sipati picha aliyekuoa yuko mbioni kupata brain concussion
 
Roho mbaya unayo weye ambae hutaki kutoa Like kwa wenzio......Humu ndani tunawasoma tabia za wengi pia...
 
Kifo si kitu chema hata kidogo. Lakini kitendo cha Lulu kusababisha mauti ya Kanumba ni dhahiri kuwa amewakilisha mateso ya wanawake wengi duniani.
1. Je, ni wanaume wangapi wako tayari wapenzi wao waone/kushika simu zao ili kuona ni akina nani wanaongea nao?
2. Kwa nini wao siku zote wanawafikiria vibaya wenzao, au ndiyo zao?
3. Je, misuli yao ndiyo huwafanya kuwaonea akina mama?

Hongera mwanangu Lulu kwani akina Sofia na Biswalo wako bize kututangazia siasa huku vitendo wakivificha. Nasema hivi kwani siku moja ndugu mmoja alimpiga mkewe kipigo cha kumwangusha juu ya vigae(nyumba imetandikwa vigae), yule mama akafikia kizingiti cha chumba na bafu ( Master bedrm) nakupasuka kichwa. Damu zilimtoka yule mama kama vile uchinjavyo ng'ombe. Bahati alikuwa mwelewa akalifunga jelaha lake na kuelekea hospital, mme akabaki amelala.

kosa la kipigo hicho lilikuwa kuwa mke kawasha taa wakati mmewe alikuwa anataka kulala! Basi.

Nasema umewakilisha akina mama nikiikumbuka ile kesi ya mwanasheria aliye shinda kesi ya mauaji ya mkewe mfanyakazi wa Posta - Dar.

Mtetezi wako ni Muumba wako na pepo wako mlinzi (your guiding spirit)

inaonekana we mama mshirikina na hata mazishi yako watu hawata huzulia. Hata ukihubili vipi Kanumba ata endelea kuwa the great ktk maisha ya watu na kwa watz.
 
kwani Lulu hana mama?
Mamaake haumii?
Kitendo cha Kanumba tu kujihusisha kimapenzi na huyo mtoto alikosea.
Na anamjua vizuri Lulu kilichomfanya alete wivu
hadi kutaka simu yake ni ni nini?
KWANINI ALIMLETEA UBABE? Nitapiga kelele kumtetea huyu binti popote nitakapopata nafasi ya kusema,Lulu ni mhanga tu kwa hili

unaonekana mmeo una mcheat sn na ndo nyie mnaoeneza HIV.Kwann uwe na wanaume weng.
 
kifo si kitu chema hata kidogo. Lakini kitendo cha lulu kusababisha mauti ya kanumba ni dhahiri kuwa amewakilisha mateso ya wanawake wengi duniani.
1. Je, ni wanaume wangapi wako tayari wapenzi wao waone/kushika simu zao ili kuona ni akina nani wanaongea nao?
2. Kwa nini wao siku zote wanawafikiria vibaya wenzao, au ndiyo zao?
3. Je, misuli yao ndiyo huwafanya kuwaonea akina mama?

Hongera mwanangu lulu kwani akina sofia na biswalo wako bize kututangazia siasa huku vitendo wakivificha. Nasema hivi kwani siku moja ndugu mmoja alimpiga mkewe kipigo cha kumwangusha juu ya vigae(nyumba imetandikwa vigae), yule mama akafikia kizingiti cha chumba na bafu ( master bedrm) nakupasuka kichwa. Damu zilimtoka yule mama kama vile uchinjavyo ng'ombe. Bahati alikuwa mwelewa akalifunga jelaha lake na kuelekea hospital, mme akabaki amelala.

Kosa la kipigo hicho lilikuwa kuwa mke kawasha taa wakati mmewe alikuwa anataka kulala! Basi.

Nasema umewakilisha akina mama nikiikumbuka ile kesi ya mwanasheria aliye shinda kesi ya mauaji ya mkewe mfanyakazi wa posta - dar.

Mtetezi wako ni muumba wako na pepo wako mlinzi (your guiding spirit)

hongera danni devil umewakilisha mawazo ya malaika mtoa roho,maana urifikiri ukaishia hapo.
Hongera sana! Pamoja ummemuita lulu mwanao ila najua huwezi pata mtoto.
 
Back
Top Bottom