Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
Kimsingi Lulu amewakilisha hulka ya wanawake ya ukatiri usio na kipimo.
one thing is for sure, kanumba amekufa.
Sasa kama lulu alikuwa anapigwa na marehemu, kwanini alikuwa ana hang kwenye relationship ambayo anateseka?
Ukombozi unaanzia hapo, sio unakaa na mwanaume anayekipiga mpaka ufe au yeye afe halafu ndo mnataka kuita ukombozi na kulifanya hilo tukio kuwa la fundisho.
As far as i know, hilo sio fundisho.....fundisho ni kwamba, kama upo kwenye mahusiano ambayo mume au mke anapigwa, then wewe unayepigwa chukua hatia leo na utambae zako.....hutaki unatambaa!! Unataka unakaa udundwe mpaka mmoja wenu afe