Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauhakika Lulu alikuwa anajitetea kwa kipigo?! Unauhakika?!?
Lulu wont like this! najaribu kufikiri hata wapi umepata wazo hili nimeshindwa. Wanasema tunafikiri na kuamua kwa uzoefu wetu uliopita lakini hata hivyo kwa sasa imekuwa ni mapema sana. "RIP Kanumba" ndio wakati wakeKifo si kitu chema hata kidogo. Lakini kitendo cha Lulu kusababisha mauti ya Kanumba ni dhahiri kuwa amewakilisha mateso ya wanawake wengi duniani.
1. Je, ni wanaume wangapi wako tayari wapenzi wao waone/kushika simu zao ili kuona ni akina nani wanaongea nao?
2. Kwa nini wao siku zote wanawafikiria vibaya wenzao, au ndiyo zao?
3. Je, misuli yao ndiyo huwafanya kuwaonea akina mama?
Hongera mwanangu Lulu kwani akina Sofia na Biswalo wako bize kututangazia siasa huku vitendo wakivificha. Nasema hivi kwani siku moja ndugu mmoja alimpiga mkewe kipigo cha kumwangusha juu ya vigae(nyumba imetandikwa vigae), yule mama akafikia kizingiti cha chumba na bafu ( Master bedrm) nakupasuka kichwa. Damu zilimtoka yule mama kama vile uchinjavyo ng'ombe. Bahati alikuwa mwelewa akalifunga jelaha lake na kuelekea hospital, mme akabaki amelala.
kosa la kipigo hicho lilikuwa kuwa mke kawasha taa wakati mmewe alikuwa anataka kulala! Basi.
Nasema umewakilisha akina mama nikiikumbuka ile kesi ya mwanasheria aliye shinda kesi ya mauaji ya mkewe mfanyakazi wa Posta - Dar.
Mtetezi wako ni Muumba wako na pepo wako mlinzi (your guiding spirit)
Ndg Mungu hahangaiki na kahabaKifo si kitu chema hata kidogo. Lakini kitendo cha Lulu kusababisha mauti ya Kanumba ni dhahiri kuwa amewakilisha mateso ya wanawake wengi duniani.
1. Je, ni wanaume wangapi wako tayari wapenzi wao waone/kushika simu zao ili kuona ni akina nani wanaongea nao?
2. Kwa nini wao siku zote wanawafikiria vibaya wenzao, au ndiyo zao?
3. Je, misuli yao ndiyo huwafanya kuwaonea akina mama?
Hongera mwanangu Lulu kwani akina Sofia na Biswalo wako bize kututangazia siasa huku vitendo wakivificha. Nasema hivi kwani siku moja ndugu mmoja alimpiga mkewe kipigo cha kumwangusha juu ya vigae(nyumba imetandikwa vigae), yule mama akafikia kizingiti cha chumba na bafu ( Master bedrm) nakupasuka kichwa. Damu zilimtoka yule mama kama vile uchinjavyo ng'ombe. Bahati alikuwa mwelewa akalifunga jelaha lake na kuelekea hospital, mme akabaki amelala.
kosa la kipigo hicho lilikuwa kuwa mke kawasha taa wakati mmewe alikuwa anataka kulala! Basi.
Nasema umewakilisha akina mama nikiikumbuka ile kesi ya mwanasheria aliye shinda kesi ya mauaji ya mkewe mfanyakazi wa Posta - Dar.
Mtetezi wako ni Muumba wako na pepo wako mlinzi (your guiding spirit)
Kama Lulu hakuwa mke wa Kanumba then ni "kicheche" lakini Kanumba aliyekuwa anasumbukia "vicheche" yeye haitwi malaya, ndio mfumo wa madume.Hivi lulu alikuwa mke wake kanumba? Au ni kacheche tu. afu we mama ni selfish sana..hivi angekuwa amekufa kaka ungeyasema haya?
Kifo si kitu chema hata kidogo. Lakini kitendo cha Lulu kusababisha mauti ya Kanumba ni dhahiri kuwa amewakilisha mateso ya wanawake wengi duniani.
1. Je, ni wanaume wangapi wako tayari wapenzi wao waone/kushika simu zao ili kuona ni akina nani wanaongea nao?
2. Kwa nini wao siku zote wanawafikiria vibaya wenzao, au ndiyo zao?
3. Je, misuli yao ndiyo huwafanya kuwaonea akina mama?
Hongera mwanangu Lulu kwani akina Sofia na Biswalo wako bize kututangazia siasa huku vitendo wakivificha. Nasema hivi kwani siku moja ndugu mmoja alimpiga mkewe kipigo cha kumwangusha juu ya vigae(nyumba imetandikwa vigae), yule mama akafikia kizingiti cha chumba na bafu ( Master bedrm) nakupasuka kichwa. Damu zilimtoka yule mama kama vile uchinjavyo ng'ombe. Bahati alikuwa mwelewa akalifunga jelaha lake na kuelekea hospital, mme akabaki amelala.
kosa la kipigo hicho lilikuwa kuwa mke kawasha taa wakati mmewe alikuwa anataka kulala! Basi.
Nasema umewakilisha akina mama nikiikumbuka ile kesi ya mwanasheria aliye shinda kesi ya mauaji ya mkewe mfanyakazi wa Posta - Dar.
Mtetezi wako ni Muumba wako na pepo wako mlinzi (your guiding spirit)
Najua hapa utaanza mjadala wa hatari,lakini nunekuelewa ubachoongelea,tena nimekishuhudia,....kwa watu wangu wa karibu...kifi sio kitu cha kufurahisha,wala kuinenea maiti si jambo zuri kwani haiwezi kujitetea,lakini umrnigusa sana...wengi tumeishi kwa kushuhudia vipigo vya mbwa mwizi kwa wazazi wetu kiasi kwamba sisi wenyew
thank u! Umemaliza...people doesnt want to be realistic and see reality...people must stop being naive and utter the truth as u did here mam! I salute u!
What if she went and causes those bruises to herself after the incident? As we are told she ran away before being caught.Najua hapa utaanza mjadala wa hatari,lakini nunekuelewa ubachoongelea,tena nimekishuhudia,....kwa watu wangu wa karibu...kifi sio kitu cha kufurahisha,wala kuinenea maiti si jambo zuri kwani haiwezi kujitetea,lakini umrnigusa sana...wengi tumeishi kwa kushuhudia vipigo vya mbwa mwizi kwa wazazi wetu kiasi kwamba sisi wenyewe tunakuja kuwafanyia wenza wetu hasa wanaume kuwaasulubu wanawake...kwa kweli let us take a step back and reflect in. Wht is happening around us..leo hii kipigo cha Lulu wala hakiwezi kuangaliwa mara mbili..ht huko polisi naamini atakuwa treated km mbwa mwizi...guilty be4 declared innocent..hakuna anayewaza majeraha yake wala nn...angalia kimo cha lulu angalia na kimo cha marehemu halafu anza kupata picha mkono unanayanyuliwa vipigo vinaanza...i had a friend naye alipokea kichapo kwa hubby wake akanipigia katikati ya hiyo sekeke,nikamwambia just run for ur life...nashuiuru mungu kuwa she is still breathing today...guys vipigo kama hivi haupangi leo nitaua mtu,it happens as accidents,but unaooanza kushusha mkono kwa mtoto wa kike,it can easily turn into tragedy...lulu is a street urchin anajua kujilinda,Wema alikuwa anadundwa anasema ni mapenzi...all i want to say is that its not right to hit a woman...lets stop this horrible vicious cycle...i have two sons and counting,i pray and work hard everysingle day to raise them to respect women...i am resting my case....
Tutaonana badae. Nilikua napita tu
bado sijakuelewaKama Lulu hakuwa mke wa Kanumba then ni "kicheche" lakini Kanumba aliyekuwa anasumbukia "vicheche" yeye haitwi malaya, ndio mfumo wa madume.
Bora "kicheche" kilicho survive attempted murder kuliko mwanamme chupi mkononi aliyepigwa mtama na "kicheche."
Vyombo vya habari leo vimeripoti kuwa Lulu alikamatwa akiwa na majeraha. Ni dhahiri kuwa alikuwa katika harakati za kujitetea "Self Defense" kutokana na shambulio la kudhuru mwili ndipokifo kikatokea. Hata hivyo kisheria hiyo ni "Manslaughter" yaani kuua bila kukusudia.Mmmh unauwakika lulu anaonewa ? Tusubiri tamko la daktari,polisi na mahakama