Hongera LULU umewakilisha mateso ya wanawake Duniani




we kweli shetan huwezi kufurahia na kushabikia binti kama huyo kuwa nakesi ya aina hiyo.
 
Jaman, mnamhukumu huyu mama bure, kila mtu anahaki ya kutoa maoni yake kwa jinsi anavyolichukulia jambo, katika hali ya kawaida ni dhahiri kumuonea huruma Lulu kwa jambo lililomfika maana hakuua kwa kukusudia, na katika hali ya kawaida ukiwa unapigwa na mtu anaekuzidi nguvu na tena amekunywa pombe ni lazma ujitahidi kadri ya uwezo wako wote kujinasua..ninamuonea huruma sana Lulu na ninamuombea Mungu asamehewe ktk hili janga, maana linaweza kumkuta mtu yeyote, wangapi mnagombana hata barabarani na kusukumana jaman..je ukimsukuma tu mtu aliekuwa anaku- attack akaanguka akafa utaitwa muuaji au alikuwa unajitetea? Kuweni na utu jaman, na huyo Kanumba hata kama amekufa, kwann alikuwa anatembea na mtoto wa miaka 17?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…