Hongera Mahakama kutengeneza Historia.

Hongera Mahakama kutengeneza Historia.

mathabane

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
2,405
Reaction score
1,894
Kama mzazi na mpenda haki, nmefurahishwa na kuridhika na maamuzi ya kutupa rufaa ya wanamuziki wa Kongo(Nguza na mwanae). Kwakweli naunga mkono hukumu! Takribani juma zima vyombo vya habari karibu vyote vimekuwa vikijaribu kuwasafisha watuhumiwa kwamba walisíngiziwa, eti hawana kosa. Bahati mbaya hakuna miongoni mwetu anaefuatilia majaliwa ya mabinti zetu walioachiwa majeraha watakayoishi nayo maisha yao yote. Ni jambo la kumshujuru Mungu mabinti zetu hawakuambukizwa ukimwi. Nijambo la kusikitisha,kutia aibu,kukatisha tamaa kuona watanzania wenzangu kuthamini umaarufu wa watuhumiwa kuliko ubinadamu. Hivi kweli sauti nyororo za Babusea na papikocha zilipwe kwa unyama kwa mabinti zetu tena wadogo hivi? Je starehe ni bora kuliko malezi na ulinzi na haki ya watoto wetu? Kama tunasema wameonewa mbona hakuna hata mmoja wetu mwenye ushahidi dhahiri aliekuja kudhibitisha? Badala ya kunun'gunika kwa ushabiki nngewashauri wanahabari na watanzania wenzangu mtafute nakala ya hukumu then mueleze umma unyama wa hawa hayawani waliotumia umaarufu wao kudhalilisha watoto na taifa letu. Kwa mzazi yeyote, unyanyasaji huu hauvumiliki hata kidogogo.
 
kwa nini waliokuwa wanahusika kuwapeleka hao watoto waliachiwa kwamba hawakuwa na kesi ya kujibu?
 
tatizo lipo tena kubwa sana la udhaifu wa kimahakama au hofu za wanasiasa zimesababisha kila judge aogope kutenda haki, mazingira hayaruhusu kabisa ila ndo bongo myonge hana haki, wale waarabu wa Irani walibaka sana mahouse girls wakaacha wakaenda kwao, waingereza walibaka na kuua tena hadi walimlazimisha dada wa watu kalala na mbwa wakaachwa wakaenda zao, suala tata kama hili wamelipitisha kienyeji kienyeji namna hii

watu walioshutumiwa kuwapeleka hao watoto hata mahakamani hawakuhitajika.... waafrica walio wengi ni watumwa wa mindset zao wenyewe
 
Tuache siasa, "Hoja ni kwamba walinajisi au hawakunajisi watoto". Wametiwa hatiani kutokana na ushahidi uso shaka dhidi yao . Hayo maswala ya wazungu sijui waarabu na mahousegeli hayana mashiko. Kwa hiyo unataka wabakaji hawa (nguza) waachiwe kwa hoja nyepesi kama hizo? Kisa tu mtuhumhwa anasauti nzuri jukwaani? Mungu tupe roho ya uoni.
 
Miaka yote nane hamjajua haki iko wap?ikitimia miaka yao kumi kuelekea kumi na moja labda watapata nuru,tz kuna changamoto sn km taifa tunaelekea kukosa great n critical thinkers,watu ambao wanaweza kusikia neno moja na wakapata maana mbili.
 
Wasiojua lolite huwa mapovu yanawatoka humu na pumba kibao peleka selo maisha swain.
 
Kama mzazi na mpenda haki, nmefurahishwa na kuridhika na maamuzi ya kutupa rufaa ya wanamuziki wa Kongo(Nguza na mwanae). Kwakweli naunga mkono hukumu! Takribani juma zima vyombo vya habari karibu vyote vimekuwa vikijaribu kuwasafisha watuhumiwa kwamba walisíngiziwa, eti hawana kosa. Bahati mbaya hakuna miongoni mwetu anaefuatilia majaliwa ya mabinti zetu walioachiwa majeraha watakayoishi nayo maisha yao yote. Ni jambo la kumshujuru Mungu mabinti zetu hawakuambukizwa ukimwi. Nijambo la kusikitisha,kutia aibu,kukatisha tamaa kuona watanzania wenzangu kuthamini umaarufu wa watuhumiwa kuliko ubinadamu. Hivi kweli sauti nyororo za Babusea na papikocha zilipwe kwa unyama kwa mabinti zetu tena wadogo hivi? Je starehe ni bora kuliko malezi na ulinzi na haki ya watoto wetu? Kama tunasema wameonewa mbona hakuna hata mmoja wetu mwenye ushahidi dhahiri aliekuja kudhibitisha? Badala ya kunun'gunika kwa ushabiki nngewashauri wanahabari na watanzania wenzangu mtafute nakala ya hukumu then mueleze umma unyama wa hawa hayawani waliotumia umaarufu wao kudhalilisha watoto na taifa letu. Kwa mzazi yeyote, unyanyasaji huu hauvumiliki hata kidogogo.

Tatizo ni kikosa uzalendo kwa Hawa

bavicha Na unafiki wao wanapiga kelele kwa kapuya lakini kwa wale wawapendao japo mahakama ishathibitisha kama wao no wakosa lakini. mnangangania watolewe ingekua watoto wenu mngefurahi Aachen ulimbukeni Nyinyi
 
Tuache siasa, "Hoja ni kwamba walinajisi au hawakunajisi watoto". Wametiwa hatiani kutokana na ushahidi uso shaka dhidi yao . Hayo maswala ya wazungu sijui waarabu na mahousegeli hayana mashiko. Kwa hiyo unataka wabakaji hawa (nguza) waachiwe kwa hoja nyepesi kama hizo? Kisa tu mtuhumhwa anasauti nzuri jukwaani? Mungu tupe roho ya uoni.

kwa nini wadau(washitakiwa) wengine wa msingi waachwe nje?

siku ya mwisho waovu hawatasimama hukumuni (hakuna muda wa kupoteza)
 
hukumu halali lazma ipokelewe + na public. Ikiwa wengi wanaona ukakasi basi haki inakuwa lazma imesukumwa nyuma. Hukumu hii haina funzo kwa jamii yetu believe it. Hapo ni sheria duniani haki ahera....
 
Hivi what is so special na hawa wapiga zeze wabakaji. Mahakama ya Hakimu mkazi imeona wana makosa, Mahakama Kuu nayo ikathibitisha uamuzi wa mahakama ya chini. Kisha Appeal Court ime-cement maamuzi ya Mahakama za chini. Nyie mnaobishana na Mahakama pelekeni ushahidi wenu usiona na mashaka ili aweze kutolea jela. Wacheni maneno ya mtaani. Kwa sasa tunasema Nguza na Mwanawe Johnson ni wabakaji kwa mujibu wa Mahakama waache waozee jelaa.
 
A real great thinker!
 
Ukitaka kujua uchafu wa wacongo wapangishie nyumba yako,utaona vituko vya kila aina, ndiyo hata wamemuharibu Kapuya hao wale wa bendi yake AKUDO
 
Hivi mbona hata wanaoclaim kuna makosa hawatuletei hizo document za hukumu ili kina sie tunaoshinda na maiti tuzisome? Wengine tukiingia net tunatafuta mambo yahusuyo uoshaji wa maiti na namna ya kuzifunga. Mambo ya mahakama hatujui hata tutayatafuta wapi! Tuwekeeni basi!
 
C ungi mkono chochote ilakama kunam2 anaukimwi na anaweza kukaa. Miezi 10-12 bilakufanya mapenzi anione au maradhi yoyote sugu kama kanda,moyomkubwa, kisukari, vidondavyatumbo, presha, heshimandani,mwanamke hazai, busha,, 0784251153
 
kwa nini waliokuwa wanahusika kuwapeleka hao watoto waliachiwa kwamba hawakuwa na kesi ya kujibu?

Na uhakika hawatakaa wakujibu hili swali,, Hivi unadhani hawajui kama hawa jamaa wanaonewa?? Cha umuhimu tuwaache waongee na wapeane shukrani maana yameshatokea na ushindi upo kwao!!
 
hukumu halali lazma ipokelewe + na public. Ikiwa wengi wanaona ukakasi basi haki inakuwa lazma imesukumwa nyuma. Hukumu hii haina funzo kwa jamii yetu believe it. Hapo ni sheria duniani haki ahera....
Usilazimishe dunia nzima wawe na mawazo kama yako. Nyie mnataka Mahakama ifanyikazi ya kuwafurahi wakata viuno badala ya kutenda haki? Manailazmisha mahakama kukidhi matakwa yenu! Mahakamani sio siasa bali weled wa sheria na haki ndio msingi wa maamuzi. Mambo ya hukumu kupokelewa (+) or (-) hayo ni kwenye majukwaa ya siasa hayaihusu mahakama. Kama mliwapenda na mlifahamu wanaonewa mlikuwa wapi siku zote kwenda kudhibitisha mnayo yaamini mahakamani? "SHERIA MSUMENO"
 
Sio wote wanaohukumiwa ni kweli wamekosa na ni lazma kusiwe na doubts yoyote.soma vizuri ma post. Sijapinga hukumu hapo ni sheria na taratibu zake sio haki. Ndio sababu kama kungekuwa na supreme court ingesikiliza tena. Kesi hii bado ina maswali mengi hayajajibiwa. Chuki yako kwa wakongo ni inferiority tu. sheria duniani haki mbinguni. Hakuna haki mahakamani bali sheria.
 
Back
Top Bottom