Huyu majay ndie mmiliki wa e fm?Dj majay jana amefungua kituo chake cha TV ambayo inaonekana no 115 katika king'amuzi cha Startimes, ipo so clear, sound inasikika vizuri ingawa naona logo bado haijakaa poa.
Ujitahidi utuletee vipindi vizuri ili utoe upinzani kwa EATV, maana kwa upande wa TV bado EATV hawajapata upinzani.
[emoji15]Kwa maelezo yako kituo kimefunguliwa jana tayari leo hii kimeshakuwa kituo bora cha TV...bila shaka ni kwa hisani ya twaweza.
Anammiliki pia lulu na hamisa [emoji15] [emoji15] [emoji14]Huyu majay ndie mmiliki wa e fm?
Yes kwa maoni yangu amejitahidi sn, nakumbuka kuna station moja siku ya 1 tu inaonekana giza, mara sauti haisikiki yaan tafran!! [emoji16][emoji16] umenichekesha hapo pa twawezaKwa maelezo yako kituo kimefunguliwa jana tayari leo hii kimeshakuwa kituo bora cha TV...bila shaka ni kwa hisani ya twaweza.
We umekurupuka kusoma wapi kaandika ni kituo bora cha Tv, amesema EATV ndo kituo bora tena mstar wa mwisho hapo sasa ww unakuja kupotosha au ndo nyie majiran wa majayKwa maelezo yako kituo kimefunguliwa jana tayari leo hii kimeshakuwa kituo bora cha TV...bila shaka ni kwa hisani ya twaweza.