Hongera Majay kwa kituo bora cha TV

Hongera Majay kwa kituo bora cha TV

Simara

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
7,512
Reaction score
23,925
Dj majay jana amefungua kituo chake cha TV ambayo inaonekana no 115 katika king'amuzi cha Startimes, ipo so clear, sound inasikika vizuri ingawa naona logo bado haijakaa poa.
Ujitahidi utuletee vipindi vizuri ili utoe upinzani kwa EATV, maana kwa upande wa TV bado EATV hawajapata upinzani.
 
Huyu majay ndie mmiliki wa e fm?
 
Kwa maelezo yako kituo kimefunguliwa jana tayari leo hii kimeshakuwa kituo bora cha TV...bila shaka ni kwa hisani ya twaweza.
Yes kwa maoni yangu amejitahidi sn, nakumbuka kuna station moja siku ya 1 tu inaonekana giza, mara sauti haisikiki yaan tafran!! [emoji16][emoji16] umenichekesha hapo pa twaweza
 
Vipi kwa antena za ndani ya tv..ni channel namba ngapi?
Sielew mkuu, ila niliona jana anaelekeza watu kuwa scan upya channel halaf tafuta hyo no 115 utaipata.
 
Back
Top Bottom