Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Dj majay jana amefungua kituo chake cha TV ambayo inaonekana no 115 katika king'amuzi cha Startimes, ipo so clear, sound inasikika vizuri ingawa naona logo bado haijakaa poa.
Ujitahidi utuletee vipindi vizuri ili utoe upinzani kwa EATV, maana kwa upande wa TV bado EATV hawajapata upinzani.
Ujitahidi utuletee vipindi vizuri ili utoe upinzani kwa EATV, maana kwa upande wa TV bado EATV hawajapata upinzani.