Pamoja Sana Ngoja tuisikilizie Swahili TV.- Tutakuwa kwenye majaribio Startimes & Azam TV na pia tunakwenda satellite Africa nzima, wakati wowte ule cause kila kitu kipo tayari isipokuwa the last approval ya TCRA ambao juzi walikuja kukagua kituo chetu hapa Sinza Mori and then we are good to go, KI AFRIKA ZAIDI!!, lakini Radio tayari ipo hewani Morogoro at 93.1 FM Africa Swahili Media Radio & TV!!
le Mutuz Nation
Kuongozi niliona juzi ulipost kwamba mtaanza kurusha African TV kuanzia jana kwenye Azam na Star Times nimejaribu kuangalia sijaona kitu,vipi mtaanza lini na channel number ngapi Azam?- Tutakuwa kwenye majaribio Startimes & Azam TV na pia tunakwenda satellite Africa nzima, wakati wowte ule cause kila kitu kipo tayari isipokuwa the last approval ya TCRA ambao juzi walikuja kukagua kituo chetu hapa Sinza Mori and then we are good to go, KI AFRIKA ZAIDI!!, lakini Radio tayari ipo hewani Morogoro at 93.1 FM Africa Swahili Media Radio & TV!!
le Mutuz Nation
Ushajibiwa?Inashika chanel number ngapi kwenye Dstv!?
Startimes king'amuzi mbona hadi mikoani inapatikana?? Itaonekana tuTatizo itakua inashika Dar pekee
Haya buanaWa mkoani.nyie wa mwisho kama mikia.
Kumbe ndiyo Maana nimeiona TV e nikajiuliza ya nani kumbe Hongera zakeDj majay jana amefungua kituo chake cha TV ambayo inaonekana no 115 katika king'amuzi cha Startimes, ipo so clear, sound inasikika vizuri ingawa naona logo bado haijakaa poa.
Ujitahidi utuletee vipindi vizuri ili utoe upinzani kwa EATV, maana kwa upande wa TV bado EATV hawajapata upinzani.
Azam nimeiona ni TV_E kwani toka Jana naangaliaWaweke Azam pia...Le Mutuz Swahili TV inpatikana channel ngapi Azam?
Hiyo ETV naiona kupitia Azam..
sauti iko ovyo sana
sio stereo kabisa....
aweke na zukuDj majay jana amefungua kituo chake cha TV ambayo inaonekana no 115 katika king'amuzi cha Startimes, ipo so clear, sound inasikika vizuri ingawa naona logo bado haijakaa poa.
Ujitahidi utuletee vipindi vizuri ili utoe upinzani kwa EATV, maana kwa upande wa TV bado EATV hawajapata upinzani.
Taja kipindi kizuri cha eatvDj majay jana amefungua kituo chake cha TV ambayo inaonekana no 115 katika king'amuzi cha Startimes, ipo so clear, sound inasikika vizuri ingawa naona logo bado haijakaa poa.
Ujitahidi utuletee vipindi vizuri ili utoe upinzani kwa EATV, maana kwa upande wa TV bado EATV hawajapata upinzani.