Hongera Majay kwa kituo bora cha TV

Hongera Majay kwa kituo bora cha TV

- Tutakuwa kwenye majaribio Startimes & Azam TV na pia tunakwenda satellite Africa nzima, wakati wowte ule cause kila kitu kipo tayari isipokuwa the last approval ya TCRA ambao juzi walikuja kukagua kituo chetu hapa Sinza Mori and then we are good to go, KI AFRIKA ZAIDI!!, lakini Radio tayari ipo hewani Morogoro at 93.1 FM Africa Swahili Media Radio & TV!!

le Mutuz Nation
Pamoja Sana Ngoja tuisikilizie Swahili TV.
 
- Tutakuwa kwenye majaribio Startimes & Azam TV na pia tunakwenda satellite Africa nzima, wakati wowte ule cause kila kitu kipo tayari isipokuwa the last approval ya TCRA ambao juzi walikuja kukagua kituo chetu hapa Sinza Mori and then we are good to go, KI AFRIKA ZAIDI!!, lakini Radio tayari ipo hewani Morogoro at 93.1 FM Africa Swahili Media Radio & TV!!

le Mutuz Nation
Kuongozi niliona juzi ulipost kwamba mtaanza kurusha African TV kuanzia jana kwenye Azam na Star Times nimejaribu kuangalia sijaona kitu,vipi mtaanza lini na channel number ngapi Azam?
 
Hongera yake ,kwenye dstv baado but pia Jana kupitia ukurasa wao wa inster walisema " tve wanarekebisha muonekano soon watarudi" hivyo star times subrini ila ni CH no 115 dstv ,azam na ZUKU wanakuja huko soon ,sipati picha wakiazisha sport hq kwenye hiyo TV E maana wamewajaza watu wa michezo ni shidaaa
 
Hiyo ETV naiona kupitia Azam..
sauti iko ovyo sana
sio stereo kabisa....
 
Dj majay jana amefungua kituo chake cha TV ambayo inaonekana no 115 katika king'amuzi cha Startimes, ipo so clear, sound inasikika vizuri ingawa naona logo bado haijakaa poa.
Ujitahidi utuletee vipindi vizuri ili utoe upinzani kwa EATV, maana kwa upande wa TV bado EATV hawajapata upinzani.
Kumbe ndiyo Maana nimeiona TV e nikajiuliza ya nani kumbe Hongera zake
 
Dj majay jana amefungua kituo chake cha TV ambayo inaonekana no 115 katika king'amuzi cha Startimes, ipo so clear, sound inasikika vizuri ingawa naona logo bado haijakaa poa.
Ujitahidi utuletee vipindi vizuri ili utoe upinzani kwa EATV, maana kwa upande wa TV bado EATV hawajapata upinzani.
aweke na zuku
 
Taja kipindi kizuri cha eatv
 
Channel inaitwaje nasisi tusiokuwa na startime tui search
 
Back
Top Bottom