Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,305
Pamoja Sana Ngoja tuisikilizie Swahili TV.- Tutakuwa kwenye majaribio Startimes & Azam TV na pia tunakwenda satellite Africa nzima, wakati wowte ule cause kila kitu kipo tayari isipokuwa the last approval ya TCRA ambao juzi walikuja kukagua kituo chetu hapa Sinza Mori and then we are good to go, KI AFRIKA ZAIDI!!, lakini Radio tayari ipo hewani Morogoro at 93.1 FM Africa Swahili Media Radio & TV!!
le Mutuz Nation