muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Lulu nae kitumbo tayari..Mzazi mwenzie Hamisa na mpenzi wa Lulu kwa sasa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lulu nae kitumbo tayari..Mzazi mwenzie Hamisa na mpenzi wa Lulu kwa sasa....
Kwikwikwi..Vipi kwa antena za ndani ya tv..ni channel namba ngapi?
Waweke Azam pia...Le Mutuz Swahili TV inpatikana channel ngapi Azam?
Hongera mkuu!- Tutakuwa kwenye majaribio Startimes & Azam TV na pia tunakwenda satellite Africa nzima, wakati wowte ule cause kila kitu kipo tayari isipokuwa the last approval ya TCRA ambao juzi walikuja kukagua kituo chetu hapa Sinza Mori and then we are good to go, KI AFRIKA ZAIDI!!, lakini Radio tayari ipo hewani Morogoro at 93.1 FM Africa Swahili Media Radio & TV!!
le Mutuz Nation
Njoo darTatizo itakua inashika Dar pekee
Dj majaykinaitwaje hicho kituo?
Haahahahahhahahahaha aisee, u made my dayAnammiliki pia lulu na hamisa [emoji15] [emoji15] [emoji14]
Cc hance mtanashati
Hahahaa mkuu Cheka uongeze maishaHaahahahahhahahahaha aisee, u made my day
Tatizo huwa ni busara za watangazaji... huwa hawatokei mlango walio ingilia...Yani mtu alikuja mikono nyuma lakini anapo ondoka lazima aondoke kwa kukashifu vituo au maboss zao... ni watangazaji wachache wana busara za kuondoka kama walivyo toka.Halafu maJ wa watu hana shida na mtu hadi nyimbo za kina kicheko zinawekwa....
Ila kicheko akitoka mawingu sidhani hata kama watakubali tangazo au nyimbo ambayo kicheko yupo....
ni TV-ENatabiri....jina la hiyo TV Station itakuwa ni LULU TV.
Anammiliki pia lulu na hamisa [emoji15] [emoji15] [emoji14]
Cc hance mtanashati
azam mwaingia lini maana kwa sasa siwaoni ingawa sijaupdate channel ,,pia sio kila comment ujibu mzaz
Watu kama hawa Mungu huwa anawabariki sana sana,ukishakuwa na moyo safi,wishing good for others basi milango inafunguliwaga hadi unashangaaHalafu maJ wa watu hana shida na mtu hadi nyimbo za kina kicheko zinawekwa....
Ila kicheko akitoka mawingu sidhani hata kama watakubali tangazo au nyimbo ambayo kicheko yupo....
Wa mkoani.nyie wa mwisho kama mikia.Tatizo itakua inashika Dar pekee
- Tutakuwa kwenye majaribio Startimes & Azam TV na pia tunakwenda satellite Africa nzima, wakati wowte ule cause kila kitu kipo tayari isipokuwa the last approval ya TCRA ambao juzi walikuja kukagua kituo chetu hapa Sinza Mori and then we are good to go, KI AFRIKA ZAIDI!!, lakini Radio tayari ipo hewani Morogoro at 93.1 FM Africa Swahili Media Radio & TV!!
le Mutuz Nation