Hongera Majay kwa kituo bora cha TV

Hongera Majay kwa kituo bora cha TV

Ndio maana radio yao leo ni miziki tu kumbe wamefungua tv hongera kwao wakimbize kama wanavyokimbiza kwenye radio
 
Waweke Azam pia...Le Mutuz Swahili TV inpatikana channel ngapi Azam?

- Tutakuwa kwenye majaribio Startimes & Azam TV na pia tunakwenda satellite Africa nzima, wakati wowte ule cause kila kitu kipo tayari isipokuwa the last approval ya TCRA ambao juzi walikuja kukagua kituo chetu hapa Sinza Mori and then we are good to go, KI AFRIKA ZAIDI!!, lakini Radio tayari ipo hewani Morogoro at 93.1 FM Africa Swahili Media Radio & TV!!

le Mutuz Nation
 
Hongera mkuu!

-Nyerere-
 
Halafu maJ wa watu hana shida na mtu hadi nyimbo za kina kicheko zinawekwa....

Ila kicheko akitoka mawingu sidhani hata kama watakubali tangazo au nyimbo ambayo kicheko yupo....
 
Natabiri....jina la hiyo TV Station itakuwa ni LULU TV.
 
Halafu maJ wa watu hana shida na mtu hadi nyimbo za kina kicheko zinawekwa....

Ila kicheko akitoka mawingu sidhani hata kama watakubali tangazo au nyimbo ambayo kicheko yupo....
Tatizo huwa ni busara za watangazaji... huwa hawatokei mlango walio ingilia...Yani mtu alikuja mikono nyuma lakini anapo ondoka lazima aondoke kwa kukashifu vituo au maboss zao... ni watangazaji wachache wana busara za kuondoka kama walivyo toka.
 
Halafu maJ wa watu hana shida na mtu hadi nyimbo za kina kicheko zinawekwa....

Ila kicheko akitoka mawingu sidhani hata kama watakubali tangazo au nyimbo ambayo kicheko yupo....
Watu kama hawa Mungu huwa anawabariki sana sana,ukishakuwa na moyo safi,wishing good for others basi milango inafunguliwaga hadi unashangaa
 
- Tutakuwa kwenye majaribio Startimes & Azam TV na pia tunakwenda satellite Africa nzima, wakati wowte ule cause kila kitu kipo tayari isipokuwa the last approval ya TCRA ambao juzi walikuja kukagua kituo chetu hapa Sinza Mori and then we are good to go, KI AFRIKA ZAIDI!!, lakini Radio tayari ipo hewani Morogoro at 93.1 FM Africa Swahili Media Radio & TV!!

le Mutuz Nation

Samahani mkuu unaongelea tv E na efm za majizo au?
 
Back
Top Bottom