Hongera Makonda kwa Uzalendo.. Samia akupe Uwaziri Mkuu

Huyo khuma tu! Huwa namuona mshamba sana huyu bwege
 
Je nani ni mzalendo wa kweli kati ya yule anayetangaza nchi yake na anayemtangaza mkuu wa nchi yake?

MY TAKE ON
Ukila na kipofu usimguse Mkono. Haya ndi mambo Samia anataka ndo anaita Uzalendo. Tanzania ina viongozi wenye laana.
Naunga mkono hoja, nilipendekeza Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM! kwasababu Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli na niliwahi kuuliza Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine? na tayari ameisha sema mwenyewe kuwa baadhi ya wanaomendea 2030 ni mashetani, yeye huwa anaongea na Mungu, hivyo atakuwepo hiyo 2030 kuhakikisha hakuna shetani anapenya!.
View: https://youtu.be/y2MrWtuQOCs?si=Wf9KkZCVqz3D7Bgw
P
 
Matusi ya kwenye kanyelamumo hayo! Mmoja anatangaza nchi halafu mwingine anamtaja tu mtu.Yeeeeeee...!Tokoshila pyeee!
 
Hizo ni contexts mbili tofauti. Ya Rwanda ilikuwa ni mktaba wa kibiashara na ya Tanzania ilikuwa ni salamu kwa Rais Samia. Very different!
 
Bashite lacks integrity on the following aspects; moral grounds, financial & economic issues, academic history, personal identity, as well as religious inclination. He can't be trusted in any top position rather than back down to where he belongs to stay.
 
Ukitaka kujua uwezo halisi wa huyo jamaa kiuongozi(achana porojo zake za kisiasa), nenda kwenye jimbo alilopewa apitie kama daraja--ARUSHA.

Hali kule ni mbaya mno, barabara ((ambazo ni kipimo rahisi kwa mwananchi kujua uwajibikaji wa mbunge),karibu zote ni mahandaki matupu.
Sasa kama jimbo tu limemshinda, nchi angeiweza vipi!?
Wakati mwingine PASKALI huwa unachekesha!!
 
Uongozi ni uwezo wa kusema na kutenda usemacho, sio kazi ya mbunge kujenga barabara, hiyo ni kazi ya serikali ya mkoa na halmashauri, kazi ya mbunge ni kusikiliza shida za wananchi na kuziwalisha Bungeni.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…