Hongera Mama Samia kwa kuvunja genge la Wapigaji, Maharagwe ya January na chemba ya Yakobo

Genge ni ccm nzima waliouza Gesi kwa wazungu wakati walituhadaa kwamba Umeme wa Gesi utakuwa tiba kwa matatizo ya Umeme na kwamba tutauza umeme Kenya, Uganda hadi Ethiopia.

Failurw ya ccm na serikali yake msitafuta scape goat wa kutupia.

Leteni vioja vingine ccm mmeshindwa kila kitu.
 
Akuna tatizo la umeme ni mipango nenda au tuma mtu akaangali mto ruhaa ulivyo jaa wakati sio kawaida yake miezi Ii kubwa na maji mengi kiasi kile
 
Acha uchawa bro, amevunja vipi? Kwani waliwekwa na nani hapo mwanzo? He hasara waliyoingizia Taifa nani analipa? Kama, walikuwa wapigaji kuna pesa, haramu wamepata, je wamezirudisha? Wezi, hufungwa au, kuuliwa, sasa Hao "wapigaji" Wametolewa tsnesco, wakapewa nafasi nyingine tena kwa mshahara mnono bado, sasa hapo amevunja genge? Au amewapa nafasi ya kujificha ili watu wapunguze kelele!
 
Mwezi wa kwanza, beans ni mtandao wa shetani. Shetani anawatuma kufanya hivyo wanavyofanya. Kwenye umeme wamefanikisha.
 
Unampongeza kwa kuhamisha tatizo!?[emoji848][emoji2827] kama aliharibu point A adhabu yake ilikuwa kupigwa chini na kupandishwa kizimbani sio kupelekwa point B nako akazidi kuharibu.. Kwani wasomi wameisha nchi hii[emoji780]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vilaza bwana, sasa hapo amevunja nini au amekufanyia nini cha maana hadi kushukuru, nyie watu wenye elimu za kuunga unga mna shida hata hamjielewi wala hamjitambuhi, ufomfoo feilia ndio unaotafuna nchi hii.

Mwanaume au mwanamke na elimu yako, na fikra zilizo huru sidhani kama ungeandika utumbo huu wa bata, kujipendekeza kwingii na uchawa uchawa tu, coz elimu sifuri kwako ubafikiri nchi inaendeshwa kwa kuimba mapambio.

Hapo hakuna alichokifanya mama yako cha maana, badala yake uwizi na ujinga wao bado wataendeleza huko huko ok, jitambue bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…