Hongera Mama Samia, Kwa kuwezesha Kutinga Afcon

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
Kiukweli ushindi wa Leo bila mashabiki ungekuwa mgumu sana, wachezaji wamejitoa baada ya watanzania wengi kuingia uwanjani.

Naishukuru sana serikali ya CCM ikiongozwa na Dk. Samia Suluhu Kwa kutuwezesha watanzania masikini kuweza kuingia uwanjani na kuwapa saport wachezaji wetu.

Lastly namshukuru Fistin mayele ambaye aliwakumbusha makocha kuwa Msuva ni hatari. Sana hivyo aitwe timu ya Taifa.
 
Mama Samia amecheza namba ngapi leo?
 
NAOGOPA KUWA HUKU MITANDAONI MUDA HUU.. NAMSUBIRI KICHWA MVIRINGO NDUMBARU
 
Hongera mama Ukhti wetu
 
U hawa ni dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…