Hongera Mama Samia, Kwa kuwezesha Kutinga Afcon

Hongera Mama Samia, Kwa kuwezesha Kutinga Afcon

NICHUKUE NAFASI HII KUMPONGEZA DAKTARI SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUHAKIKISHA TAIFA STARS INAFUZU AFCON 2025...BILA MAMA SIJUI TEAM HII INGEKUA WAPI SAIZ🙌🏾
I
 
Kiukweli ushindi wa Leo bila mashabiki ungekuwa mgumu sana, wachezaji wamejitoa baada ya watanzania wengi kuingia uwanjani.

Naishukuru sana serikali ya CCM ikiongozwa na Dk. Samia Suluhu Kwa kutuwezesha watanzania masikini kuweza kuingia uwanjani na kuwapa saport wachezaji wetu.

Lastly namshukuru Fistin mayele ambaye aliwakumbusha makocha kuwa Msuva ni hatari. Sana hivyo aitwe timu ya Taifa.
Kadiri Machadema na wale nyumbu wengine wanavyozidi kumchukia SSH ndivyo nyota yake inazidi kung'aa.

Na Bado ataipaisha Nchi kwenye mambo mengi sana.👇👇

View: https://x.com/insaneclips2024/status/1858893647795597754?t=yEX6QlWfSrzOhyVLImC7Mg&s=19
 
Back
Top Bottom