Hilo alitonywa mapema, ndio maana hakurudiKwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima .
Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
Shauri la mauaji ya katibu mwenezi wilaya ya Kilolo linaendeleaje?Unataka kusemaje? 🐼
Hilo haliwezekani.Mitume wenyewe walitukanwa na kudhihakiwa sembuse akina kaflambute?Watu wanataka kusifiwa tu!!
kwani umesoma nini?Unataka kusemaje? 🐼
Huyu asingerudi tena. Wangemhenyesha balaa. Ukizingatia na Hangaya she doesn't care!Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima .
Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
Ngoja nikueleweshe.Sasa at El na wengine ndio nini?
Uongozi wa Kizanzibari ndio umeleta hili. Magufuri haikuwa hiv kama ilivyo, japo nae a;itia fora kwa ile aliemfanyia LisuDuuh aiseeh, kama Taifa tunapotea, haya tulizoea kuyasikia kwa wenzetu.
Sarungi ni funzo la kutokuoa wazungu, unazaa watoto wasio na utu unazikwa kama hukuwahi kuzaaKwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima .
Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.