Hongera matambalya

Hongera matambalya

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
John Matambalya aliajiriwa na azam kuwa fundi ujenzi kujenga ule uwanja wao,ulipoisha akaajiriwa hapohapo,kuwa msimamizi wa uwanja na akaanza kusomea ukocha na akahitimu,akaanza kuwa kocha cha kikosi cha pili,na sasa ndio kaimu kocha wa kmc,hongera sana
 
Hicho ni kipaji kikubwa.
 
Hongera kwake. Hadi leo anaitwa John?
 
Back
Top Bottom