fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
John Matambalya aliajiriwa na azam kuwa fundi ujenzi kujenga ule uwanja wao,ulipoisha akaajiriwa hapohapo,kuwa msimamizi wa uwanja na akaanza kusomea ukocha na akahitimu,akaanza kuwa kocha cha kikosi cha pili,na sasa ndio kaimu kocha wa kmc,hongera sana