Hongera Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga ndoa

Hongera Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga ndoa

Niliwahi kutana na Kitenge maeneo ya Masaki nikiwa nanunua matunda, ikapaki gari aina ya Crown kuangalia Kitenge, kumbe naye kaja kununua matunda eneo hilo hilo, nikasema kimoyomoyo, huyu si ndiye Kitenge niliyemsikia Radio One tangu nikiwa shule kikajijibu naam ndiye, japo sikumshobokea kuhusu kumjua kwa kumsikia Redioni na kumuona kwenye tv ila si kukutana ana kwa ana, aisee mshikaji kumbe ni umri umesogea hakosi miaka hamsini hivi.
 
Kitenge haoagi mwanamke mchovu, wanawake wote ambao anawaoa wanamawe.Kuna kupindi alikuwa amemuoa mmama mmoja ambao uafanya kazi UN. Naona hapendi mizinga kwa hawa wadangaji, halafu yy anaprefer wale ambao umri kidogo umeenda ambao wanahela, hawa mademu njaa njaa hataki kuwasikia.
Ha ha ha! Lengo la msingi la kuoa au kuolewa ni kuongeza kizazi. Lengo la pili ni kupata faraja hususan baada ya kuondokewa na mwenza. Kitenge hayupo kwenye kundi la pili kwani anao wake. Kwenye sababu ya kwanza, haina mashiko kwake kwani, kama unavyodai, anawalenga mashangazi ambao uwezo wa kuongeza kizazi haupo! Swali, lengo lake ni lipi hasa?
 
Kitenge anastahili Honorary Doctorate kutoka Chuo Kikuu pale Msamvu
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Back
Top Bottom