Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hizi hazina uthibitisho na kuthibitisha ni ngumuHuyo Kitenge hadithi ni nyingi kwamba hana marinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi hazina uthibitisho na kuthibitisha ni ngumuHuyo Kitenge hadithi ni nyingi kwamba hana marinda
Dpw imetemaKana umri gani?
Kitenge ana wake kibao
Mimi tangu 2010 najua alikuwa na wake wawili tukikaa naye pale Mwananyamala Koma Koma.Nasikia yule mtoto kwenye tangazo la EATV anasema "You can do only tennis or you can do other exercise" ni wake. Pia alikuwa na mke mtangazaji aliyemzidi Kitenge umri
Dah!!Jamaa si nasikia mgonjwa
Au bibie naye tayari kaumia
Hii kazi mbn Kiongozi wa Chama ameeka sana
Nawapongeza Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga pingu za maisha japo waliamua kufanya ndoa ya siri.
Chumvi kapata chombo ya ukweli.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili taifa kuna watu wanapenda ndoa....wanandoa wa taifa
Haji manara, Maulid, Esma, Dida Taifa liwatambue
Watu wa namna hii wako wengi sana hapa Bongo, kuna wengine wana misuli utadhani ni mabaunsa ila wanaliwa bila kachumbari na wenzao huko mitaaniKweli kuna jamaa hapa jirani yangu, tetesi zilikuwa zikidai kuwa jogoo wake hawiki, mimi nilipuuza maana anao hadi watoto ila hana mke,niliwahi kumuuliza juu ya kuoa akasema yeye hawezi kuoa maana wanawake ni wasumbufu sana.
Nimekaa baada ya muda nikawa naona anaishi na mwanamke,sikumuuliza, na yule mwanamke alikuwa mjamzito,mimi nikajua ameamua kuoa,hatari zaidi kuna siku huyo mke wake mjamzito alikuja kuvurugana na mwanamke mwingine ambaye inasemekana alikuwa hawara wa huyo jamaa,na nilikuwa namuona akija hapo( walikuwa wanamgombania huyo jamaa).
Sasa nikawa najiuliza mbona watu wanasema jamaa jogoo wake hawiki,je huyu mwanamke mwenye mimba kulikoni,je huyu mwanamke aliyekuja kupambana na mwanamke mwezie sababu ilikuwa ni nini ikiwa jamaa hawezi ku.t.o.m****.
Sasa bahati nzuri mke wajamaa pamoja na mke wangu wakawa marafiki na huyu mwanamke mwenye mimba ambaye ni mke wa jamaa,kuna siku akadokeza huyo mke,bwana mimi niko na huyu jamaa ila hii mimba si yake,na usimuone hivyo hana uwezo wa kusimamia show hatab nusu sekunde,kiufupi mtalimbo uko dolo toka kuzaliwa,ila anawivu sana asikuone umesimama na mwanamme.
We cocastic yule jamaa yako ni mzima kweli? Mchunguze malinda kabla mambo hayajaharibika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mdogo tu..Nusrat kazaliwa 1989-11-14, hamna namna yoyote Kitenge kazaliwa chini ya hapo...
Wapo wanaochafuliwa na wapo wanaosema ukweli.
Mfano Jux watu wa Sinza wote wanajua akiliwa, pia wafiraji wengi huliwa
Kweli kuna jamaa hapa jirani yangu, tetesi zilikuwa zikidai kuwa jogoo wake hawiki, mimi nilipuuza maana anao hadi watoto ila hana mke,niliwahi kumuuliza juu ya kuoa akasema yeye hawezi kuoa maana wanawake ni wasumbufu sana.
Nimekaa baada ya muda nikawa naona anaishi na mwanamke,sikumuuliza, na yule mwanamke alikuwa mjamzito,mimi nikajua ameamua kuoa,hatari zaidi kuna siku huyo mke wake mjamzito alikuja kuvurugana na mwanamke mwingine ambaye inasemekana alikuwa hawara wa huyo jamaa,na nilikuwa namuona akija hapo( walikuwa wanamgombania huyo jamaa).
Sasa nikawa najiuliza mbona watu wanasema jamaa jogoo wake hawiki,je huyu mwanamke mwenye mimba kulikoni,je huyu mwanamke aliyekuja kupambana na mwanamke mwezie sababu ilikuwa ni nini ikiwa jamaa hawezi ku.t.o.m****.
Sasa bahati nzuri mke wajamaa pamoja na mke wangu wakawa marafiki na huyu mwanamke mwenye mimba ambaye ni mke wa jamaa,kuna siku akadokeza huyo mke,bwana mimi niko na huyu jamaa ila hii mimba si yake,na usimuone hivyo hana uwezo wa kusimamia show hatab nusu sekunde,kiufupi mtalimbo uko dolo toka kuzaliwa,ila anawivu sana asikuone umesimama na mwanamme.
Mkuu wewe mpiga ramli au?Mbona hata wewe mke wako kuna mahali alisema mtoto wa kwanza sio wako, na ukipiga kimoja unalala usingizi wa nusu kaputi
Ila sisi hatukuamini, mbona wewe unaamini chai za mke wako, akienda kwa yule mzee ndesaruo huwa anakuambia ?