Hongera Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga ndoa

Hongera Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga ndoa

View attachment 2939549
Nawapongeza Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga pingu za maisha japo waliamua kufanya ndoa ya siri.

Chumvi kapata chombo ya ukweli.
Mke wa ngapi huyu? Najua Maulid alikuwa na wake wawili. Huyu Nusrat naye kaachika au alizaaa na mshefa Maulid..... Hizi ndoa za mwezi wa Ramadhani hazina konakona, ni rahisi tu.

Vv
 
Nadhani amejazi nafasi iliyokuwa wazi.
Wamekutana Nusrat Hanje hiyo ndoa na kitenge ni ndoa yake ya tatu au waswahili hupenda kuita chuo cha tatu .Hivyo hanje sasa yuko chuo cha tatu

Ndoa ya kwanza ilikuwa 2010 akazaa ntoto mmja ikavunjika

Ndoa ya pili ikawa 2016 akazaa mtoto mmoja ikavunjika

Hii ni ndoa yake ya Tatu anayoona na Kitenge safari inaendelea
 
Back
Top Bottom