Hongera Mbosso kwa kujenga hii nyumba nzuri

Napita jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Haiwezi kuwa yake labda awe na management tofauti na hiyo, kampun ina manager karibia nane ndo ije ikununulie nyumba ya 400m labda fella angempa zile za yamoto dalali mwenyewe hataki kusema imenunuliwa asije kosa mteja
 
Hahahaha hv yamoto band kila mtu si alikuwa na nyumba yake???? Ile ya kwanza iko wapi????hahahahaha

"World war Z"
 
Hata Sepetunga alisema ana nyumba Kijitonyama,kumbe kapangiwa na fala mmoja,baada ya kutengana,tukasikia anapanga sijui Bunju.achana na wachezesha midomo kwa kupenda sifa.
 
Kama ni kweli ni yake,kwa kweli amejitahidi na hongera zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…