Hongera Mbosso kwa kujenga hii nyumba nzuri

Hongera Mbosso kwa kujenga hii nyumba nzuri

Lakini maisha ya DABLIUSIBII wanayajua wenyewe aisee.

Yaani mpaka unashangaa kwanini lakini!!
 
hilo nalo neno.. 😀 kuna watu wanacomment za ajabu utasema tupo Instagram

Kilema kanifurahisha sana! mara kashajiwazia atapandaje pale sijui anaenda kufanya nini kwenye mijengo yawatu 😀😀😀😀😀
 
Wasanii wengi wananunua nyumba na magari instagram,lakini ukija kuwaona mtaani ni aibu......Kuna Msanii amejitangaza kwamba amewekeza kwenye real estate na karibu watangazaji wote wanajua kwamba jamaa amewekeza kwenye real estate lakini maisha yake halisi ni noma,nyumba anayokaa ni zile ambazo zinaubiri mtu aseme "SUUUUUU: idondoke.
 
Back
Top Bottom