Hongera Mbosso kwa kujenga hii nyumba nzuri

Hongera Mbosso kwa kujenga hii nyumba nzuri

Moja ya wasanii ninaowapenda Mbosso amefanikiwa kujenga nyumba nzuri kwa kipindi kifupi alichoanza muziki. Nampa hongera sana, inafurahisha kuona vijana wadogo kama hawa wanapiga hatua katika umri mdogo.View attachment 1059520

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana, hii ndio akili sasa....sio kuanzisha mashindano ya kiki.

Huyu kijana akiendelea kuwa na akili hizi.....hadi ifike 2025 tuta yaona mengi makubwa.

All the best Mbosso.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjengo kama design za Kenya (tofali za ukuta)
 
Tanzania imefika hatua kua na kajumba kama hako ni very big deal mpaka utangaze kilamahali
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameeleza bro, yawezekana kwako wewe ikawa ni kitu kidogo sana ila kwake ni kikubwa na inawezekana unadharau ukawa huna ya hivyo hata yenye mfanano wa hiyo ukawa umepanga au unakaa kwenye vijumba vya serikali ukisubiri pensheni

Shubahamit
 
Watu washafukunyua makaburi,nyumba ipo Tegeta wazo na dalali anaipost Instagram kumtafuta mtu wa kukodi

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma na hii basi.
Inst-image-10.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
inaweza kuwa ya kwake kwa kuinunua.. maana music una hela ukiwa na management nzuri... ila kwa kujenga mwenyewe naona kama ngumu...
 
Back
Top Bottom