Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,440
- 2,572
Safi sana, hii ndio akili sasa....sio kuanzisha mashindano ya kiki.Moja ya wasanii ninaowapenda Mbosso amefanikiwa kujenga nyumba nzuri kwa kipindi kifupi alichoanza muziki. Nampa hongera sana, inafurahisha kuona vijana wadogo kama hawa wanapiga hatua katika umri mdogo.View attachment 1059520
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu kijana akiendelea kuwa na akili hizi.....hadi ifike 2025 tuta yaona mengi makubwa.
All the best Mbosso.
Sent using Jamii Forums mobile app