Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Huyu yupo kama ni mzunguMoja ya wasanii ninaowapenda Mbosso amefanikiwa kujenga nyumba nzuri kwa kipindi kifupi alichoanza muziki. Nampa hongera sana, inafurahisha kuona vijana wadogo kama hawa wanapiga hatua katika umri mdogo.View attachment 1059520
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie vilema mnatandikiwa mkeka nje muote jua.Hongera sana kwa hatua uliyopiga, ila nyumba kama ya kizamani, sisi vilema tunapandaje hapo sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
mil. 40 au mil.400?
hilo nalo neno.. π kuna watu wanacomment za ajabu utasema tupo Instagram
Kwani kasema amewajengea kituo?Hongera sana kwa hatua uliyopiga, ila nyumba kama ya kizamani, sisi vilema tunapandaje hapo sasa
Sent using Jamii Forums mobile app