Hongera mbunge Msigwa kwa kuirejesha Lipuli Fc ligi kuu (vpl)

Hongera mbunge Msigwa kwa kuirejesha Lipuli Fc ligi kuu (vpl)

Hii timu inaweza kuleta simanzi ya kitaifa, maana ikifungwa magoli inaweza kujinyonga timu nzima!!!! Si unajua tena mambo ya kurithi DNA!!!!
 
Mbona Kasesela hujamtaja? Acha siasa ya kubaguana kwa vyama.

Pongeza wote waliohusika.

Mbona Mwenyekiti wa CCM mkoa alikuwa amefunga na kuomba siku wanacheza na Friends Langers ana hujasema.

Punguza siasa?
Mpira ni siasa ndugu yangu jiongeze na kama ulikuwa hujui Msigwa na Kasesela ni wanamichezo hasa.Unaijua historia ya Dar Young African (Yanga) wewe?
 
Mbona Kasesela hujamtaja? Acha siasa ya kubaguana kwa vyama.

Pongeza wote waliohusika.

Mbona Mwenyekiti wa CCM mkoa alikuwa amefunga na kuomba siku wanacheza na Friends Langers ana hujasema.

Punguza siasa?
Mtaje wewe sasa,nyie ccm kwanza wezi was viwanja vya michezo
 
Hii team tunaijua sisi wana Iringa.. jinsi ilivopambana mpaka wamefika hatua hii yan ilifika mda Lipul ilkua inaomba misaada ya chakula kama Unga, Mchele maji ya kunywa nk.kwenye station za redio mbali mbali za mkoan kwetu.. mfano Ebony fm ,Country.. tena kunakipnd ulitokea mgogoro baina ya viongoz wa team makanjanjaa hawa tunawaita wapga hela.. nashukuru saiv team mbalimbali nitaziona Samora Stadium... Kama Simba,Yanga,Azam na nyngnezo KARIBUN SANA IRINGA..


[HASHTAG]#WelcomeBackLipulFc[/HASHTAG]....
 
Dah! lishafanywa la kisiasa hili jambo.....

Angalieni mtagawa timu na kuiharibu.
Na ndo linalofata ukiweka siasa kwenye michezo lazima watu wagawanyike mwisho timu inakosa sapoti ya watu wa upande mwingine... Wameacha kupongeza chama cha mpira iringa, viongozi mbalimbali, wachezaji na wadau walioisaidia timu kwa hali na mali wao wanaleta siasa
 
wana uwanja mzuri tu....tena zaidi ya ule wa Majimaji....

nilikuwa pale walipocheza na polisi Dar!
Afadhali maana ule wa Majimaji ni balaa kubwa.
Kama Sokoine wameweza angalau playing pitch siyo mbaya. Huko vyumbani na wash rooms hatujui
 
Kamwene wadimi na wanyalu wote wa hapo mshindo na viunga vyote vya mkoa wa Iringa.Niwapongeze kwa kuweza kuirejesha timu ya lipuli kwenye ligi kuu ya vodacom.

Nampongeza mwanamichezo DC Kasesela halikadhalika mdau wa michezo wa siku nyingi mbunge Peter Msigwa. Naelewa miaka ile ya 1984 kulikuwa na ushindani mkubwa wa African wonderers na lipuli na kwakuwa mbunge ulikuwa na meza ya mitumba palei miyomboni sina shaka ulikuwa shabiki wa A/wonderes.

Lakini leo ukiwa mbunge umeweza kusimama imara kuhakikisha timu pinzani imepanda daraja.Kumbe upinzani siyo uadui basi nikuombe upeleke falsafa hiyo huko SIASANI kwa ajili ya mustakabali mwema wa maendeleo ya mkoa wa Iringa na taifa kwa ujumla.

Hongereni sana wanyalu, tuwohungise!
Kwa taarifa yako huyo Msigwa wako hajafanya chochote kusaidia Lipuli kupanda,uliza uambiwe.

Siku Lipuli inapanda rasmi ligi kuu tunacheza na Polisi Dar ndo alikuja uwanjani na baada ya mechi alitoa 1.5ml

Lakini jiulize ni nani kaitoa Lipuli toka huko chini? Jibu ni rahisi sana......ni Rais wa timu madam Jesca Msambatavangu pamoja na DC Kasesela.

Msigwa tupa kule.
 
Umeiona Pitch ya uwanja wa Samora sasa hivi?
Baada ya Taifa,Azam,Uhuru,Kaitaba na Nyamagana basi Samora Iringa ndo inafuata.
Itakuwa wamefanya vizuri sana. Afterall, Uhuru, Azam na Kaitaba ni arificial hazihitaji umwagiliaji kama nyasi asilia.
 
Daah mnailetea Siasa Lipuli F.c kabla hata kuanza ligi kuu.
Hakika kwenye michezo bado tuna safari ndefu mno.
 
Back
Top Bottom