Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira ni siasa ndugu yangu jiongeze na kama ulikuwa hujui Msigwa na Kasesela ni wanamichezo hasa.Unaijua historia ya Dar Young African (Yanga) wewe?
Mtaje wewe sasa,nyie ccm kwanza wezi was viwanja vya michezoMbona Kasesela hujamtaja? Acha siasa ya kubaguana kwa vyama.
Pongeza wote waliohusika.
Mbona Mwenyekiti wa CCM mkoa alikuwa amefunga na kuomba siku wanacheza na Friends Langers ana hujasema.
Punguza siasa?
Mkuu comment yako nimeipenda sana.. Watu siku hizi kila kitu siasa.. Unaweza kuzaa mtoto wakamsifu mbunge wako na sio wewe na mkeo, kifupi tumepotea sanaToeni siasa kwenye mpira. Msigwa ni nani? Wakati akina Sanga ndo wanapambana?
Na ndo linalofata ukiweka siasa kwenye michezo lazima watu wagawanyike mwisho timu inakosa sapoti ya watu wa upande mwingine... Wameacha kupongeza chama cha mpira iringa, viongozi mbalimbali, wachezaji na wadau walioisaidia timu kwa hali na mali wao wanaleta siasaDah! lishafanywa la kisiasa hili jambo.....
Angalieni mtagawa timu na kuiharibu.
Kama anakuwemo kwanini hukusema wana Iringa ukasema Msigwa?Ukisema watu wote wa Iringa Mh Msigwa naye si anakuwemo humo?
Wana Iringa tenengezeni uwanja angalau uwe mzuri na wenye hadhi ya VPL
Afadhali maana ule wa Majimaji ni balaa kubwa.wana uwanja mzuri tu....tena zaidi ya ule wa Majimaji....
nilikuwa pale walipocheza na polisi Dar!
Hahah...Mwagitooo....kiwanja mnacho?..
Umeiona Pitch ya uwanja wa Samora sasa hivi?Wana Iringa tenengezeni uwanja angalau uwe mzuri na wenye hadhi ya VPL
Kwa taarifa yako huyo Msigwa wako hajafanya chochote kusaidia Lipuli kupanda,uliza uambiwe.Kamwene wadimi na wanyalu wote wa hapo mshindo na viunga vyote vya mkoa wa Iringa.Niwapongeze kwa kuweza kuirejesha timu ya lipuli kwenye ligi kuu ya vodacom.
Nampongeza mwanamichezo DC Kasesela halikadhalika mdau wa michezo wa siku nyingi mbunge Peter Msigwa. Naelewa miaka ile ya 1984 kulikuwa na ushindani mkubwa wa African wonderers na lipuli na kwakuwa mbunge ulikuwa na meza ya mitumba palei miyomboni sina shaka ulikuwa shabiki wa A/wonderes.
Lakini leo ukiwa mbunge umeweza kusimama imara kuhakikisha timu pinzani imepanda daraja.Kumbe upinzani siyo uadui basi nikuombe upeleke falsafa hiyo huko SIASANI kwa ajili ya mustakabali mwema wa maendeleo ya mkoa wa Iringa na taifa kwa ujumla.
Hongereni sana wanyalu, tuwohungise!
Itakuwa wamefanya vizuri sana. Afterall, Uhuru, Azam na Kaitaba ni arificial hazihitaji umwagiliaji kama nyasi asilia.Umeiona Pitch ya uwanja wa Samora sasa hivi?
Baada ya Taifa,Azam,Uhuru,Kaitaba na Nyamagana basi Samora Iringa ndo inafuata.