Hongera Mbunge wa kisesa mkoani Simiyu Luhanga Mpina kuona toka mwanza wizara ya nishati walipewa matapeli

Hongera Mbunge wa kisesa mkoani Simiyu Luhanga Mpina kuona toka mwanza wizara ya nishati walipewa matapeli

kibori nangai

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
1,430
Reaction score
2,130
Hi Chapu shughuli ni mingi

Huyu mwamba apewe maua yake ,toka mwanzo huko Samiaa akiunda Serikali yakee alisema na kututadharisha mapema tuu hawa jamaaa ni matapelii kabisaaa na wapiga madini.

Ikaja ngonjeraa ooo hamtaki makamba kuwa waziri wa nishati sijui nini.

Machawa wakanza, Makamba wakanza kuwahamisha wakurugezii wa Tanesco wapii

Oooo sijui nini

Serikali kupitia mawaziri wake wenye viburi kama Nape ,Mwigulu na mengine wengi wakawa na majibu ya kejeliii.

Leo Mwamba apewe maua yake Makamba out na mikakati yake ya ovyooo,Chande out na wengine wotee out akiwepo kile kahaya kwenye kiburi na hiyo ndio shida.

Mwamba apewe Maua yake LUHANGA MPINA.

Wee ndio kiongozi unayetufaa kwa sasa.

Mama Mawaziri ambao hawafai katika serikali yako nii.

Makamba hata jimbo lake tuu kuna umaskini wa kutupwaaa.

Nape hakufaii fataaa maelekezo ya mtangulizi wako hawa vijana hawakufaii piga chini Ondoa wotee

Tafuta njia umrudishe Dr Kalemaniii. Kwenye serikali yakoo

Atakusaidiaaa.

Machawa njoonii nitawaparuaaa vibaya sanaaaa.

Matatizo yaliyosabibishwa Makamba katika nchi hii

1. Tatizo kubwa la Umeme hapa tu niko hapa hakuna umeme. Shame on you Dalali mkubwa wewe.

2. Matatizo makubwa ya upunguvu wa Mafuta wakati hili tumezoea kusikia huko nchi zingine.

3. Urasimu wa kuunganishiwa umeme

4. Miradi ya mengi ya umeme kukwama mfanoo Nyerere hadi leo.

5. Miradi ya REA haijulikani hata imekwama wapi kila siku ooo vijijiji sijui tutaunganishaa umeme ooo .

Makamba Nape kuna kale kahaya kale kanaitwa sijui nani ka Bukoba na mengine wote acheni VIBURI vya madarakaa.

Madaraka yana mwisho
 
January ni mwiba kwenye maendeleo ya nchi, ngoja tuone huko mambo ya nje baada ya mwaka CAG atasemaje. Tutaendelea kumfuatilia sana
 
Back
Top Bottom