Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #41
Meona ee Acha kabisaWema ni brand atapiga sana hela
KabisaHuyu ndo Wema tunaemtaka sie yule...!!!
Kwanini anamchukia? !Mi nampongeza sana tu..sinaga ubaya nae..
Ubaya wangu kwake ni kumchukia Missa tuu!!!
Kweli kabisaYaani ukitaka uchukiwe na Mtanzania piga maendeleo hasa sisi wanawake.
KabisaHongera yake binti.
HahaahhaKazi sio kumiliki duka kazi kuliendesha hilo duka.
Biashara ya kuendesha duka ni ngumu Sana, isikie tu.
Asipokaa watampigaSocial media kuna watu wapo kuvunja moyo wenzao kwa namna zote..mi namuombea atulie tu na duka lake tena if possible akae nwenyewe km Hamisaa unless watamuibia
Pole sanaDAH KUMBE NA WW UMRI UMEENDA ASEEEEWE MITONGOZO YOTE ILE TULIJUA NI KIBINTI KIBICHI KUMBEEEEE KIBIBI KIZEE ALOOOOOOOOOO NGOJA DUSHE YANGU NIMTUNZIE PAULA KAJALA AKIKUA ATAIKUTA.
#sitakipovu.
Hata kama ni duka lake la 100 hongera lazima apewe tuKwani ni duka lake la kwanza? Mbona kaanza zamani na lile duka lake la kuuza bidhaa zake sijui perfume, lip shine n.k au umesahau
HahaahhaSiyo roho mbaya.Kuna watu ni wachawi na wanajua na wengine hawajui. So humu kuna wachawi wengi sana na wanaloga mchana tena kupitia mtandaoni km hapa.
Hujamuelewa huyo mkuuJamani ilimradi amechukua hatua mwacheni afanye kazi... sasa mnataka afanyaje? !
Mbona Celebrity America, Nigerians wanamiliki Saloons na Maduka ya Nguo itakuwa Wema?!
Atapiga tuNakuswampa aka kupiga misele atamwachia nani
HahahaWatu humu tumepiga age. Mkuu humu usishangae unachat na JPM
Mbona wema mtoto sana, au wewe ndo mtoto sanaINA MAANA MKUU UNAMZIDI UMRI WEMA???
Kama ni kweli uko vzr upande wa kula chumvi
HajachelewaWema akili ndio zinamfunguka saa hizi
Aliekwambia WemA hana Hela nani?!Miaka yote huko nyuma akiwa hot hakuiga ela itakuwa leo?
Unajua maana ya ela wewe?
Asante kwa TaarifaDuka analo toka zamani sema hili la sasa ni la bidhaa ya aina nyingine
Hahaha[/QUOT
Embu waambie hao dear