Hongera Mdogowangu Wema Sepetu kwa Kufungua Duka

Hongera Mdogowangu Wema Sepetu kwa Kufungua Duka

DAH KUMBE NA WW UMRI UMEENDA ASEEEEWE MITONGOZO YOTE ILE TULIJUA NI KIBINTI KIBICHI KUMBEEEEE KIBIBI KIZEE ALOOOOOOOOOO NGOJA DUSHE YANGU NIMTUNZIE PAULA KAJALA AKIKUA ATAIKUTA.







#sitakipovu.
Pole sana
Wenzio waliwahi muda sasa hivi wananipepea
 
Kwani ni duka lake la kwanza? Mbona kaanza zamani na lile duka lake la kuuza bidhaa zake sijui perfume, lip shine n.k au umesahau
Hata kama ni duka lake la 100 hongera lazima apewe tu
 
Jamani ilimradi amechukua hatua mwacheni afanye kazi... sasa mnataka afanyaje? !

Mbona Celebrity America, Nigerians wanamiliki Saloons na Maduka ya Nguo itakuwa Wema?!
Hujamuelewa huyo mkuu
Hoja yake ni kuwa wema kachezea maisha
Angekua na akili saivi angekua mbali.yeye sio mtu aliyefaa kua na hako kaduka
Miaka na miaka toka enzi za kanumba wema alikua amezembea
 
Back
Top Bottom