Hongera Membe, ACT - wengine Salamu kwenu

Hongera Membe, ACT - wengine Salamu kwenu

Alafu leo katukanwa Tunduma amekata pumzi na hakuna kitu alichofanyia Tanzania wakati wa uwaziri wake.
 
Tangu lini US wawe na huruma kwetu? Wangekuwa na huruma Wangekuwa walishatusaidia kiuchumi na hivyo Tanzania ingekuwa kama US.
Watanzania, mmeshasahau mauaji ya George Flowd?
Kwahiyo zile bara bara zina zojengwa na hizo shule pamoja na mashimo ya choo na madawa hospitalini munazania nipesa za nani mwisho wa na weka Bango kila wakimaliza kujenga bara bara ni hisani ya watu wa marekani

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mabibi na mabwana heshima kwenu.

Wakati jitihada za kuzuia mafuriko zinaonekana tokea kwa wateuliwa tusiache kutoa pongezi panapostahili.

Bwana Membe hongera:

View attachment 1587214

Mabwana Sirro, mahera na msajili salamu kwenu.

Huyu mnayemchukia ni kipenzi cha wengi. Acheni kila mtu ashinde mechi zake mwenyewe. Pana haja gani ya kujinunulia kesi?

Mwenye macho haambiwi tazama.

Palikuwa na sababu gani za msingi kwa mabomu yale tarime au kwenye msafara ule wa bwana Mwalimu?

Wananchi tunaona na ni mahakimu wema mno.

Tendeni haki mwende zenu.
Haki gani hao watatenda wametanguliza matumbo mbele hao lazima watafika ICC
 
Mabibi na mabwana heshima kwenu.

Wakati jitihada za kuzuia mafuriko zinaonekana tokea kwa wateuliwa tusiache kutoa pongezi panapostahili.

Bwana Membe hongera:

View attachment 1587214

Mabwana Sirro, mahera na msajili salamu kwenu.

Huyu mnayemchukia ni kipenzi cha wengi. Acheni kila mtu ashinde mechi zake mwenyewe. Pana haja gani ya kujinunulia kesi?

Mwenye macho haambiwi tazama.

Palikuwa na sababu gani za msingi kwa mabomu yale tarime au kwenye msafara ule wa bwana Mwalimu?

Wananchi tunaona na ni mahakimu wema mno.

Tendeni haki mwende zenu.
feki hiyo,bavicha kazini
 
Back
Top Bottom