Hongera Mh. Makonda, Marekani imeguswa na utendaji wako

Private investigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
303
Reaction score
287
Ndio!! Hizi ni pongezi zangu binafsi toka Mwanza kwa Mh Makonda kwa kutambuliwa na Marekani wababe wa dunia. Wameamua kumpiga pini kwenda Marekani.

Nitaeleza kwanini nampongeza Mh Makonda kwa hili.

Ikumbukwe Marekani mbali na kujitanabaisha kama taifa linalolinda haki za binadamu ila ndio taifa namba moja kwa ukiukwaji wa haki hizo.

Sina haja ya kurejea matukio kadhaa ya kukiuka haki za binadamu hasa hiyo haki wanayomshutumu nayo Mh Makonda kwamba amadhurumu haki ya kuishi kwa watu kadhaa.

Lakini je wao kwa Gaddafi walifanya nini? Wao kwa Mohamed wa Iran wamefanya nini? Na kwa wengine wengi tu.

Pongezi zangu kwa Mh Makonda zinaegemea kwenye eneo moja; Marekani haijitokezi katika eneo lolote lisilogusa maslahi yao hata kama kuna haki zinakiukwa.

Kwa mantiki hii nachelea kusema "kuna mahali Mh Makonda amewagusa, ameharibu maslahi yao, amepora haki ya kuishi kwa watu ambao Marekani walikuwa na maslahi yao.

Watu hao ambao Mh Makonda amegusa maslahi ya Marekani yawezekana walikuwa Watanzania au sio Watanzania maana andiko la Marekani halijagusa hasa ni watu gani. Je watu hao walikuwa na matokeo mazuri kwa Tanzania yetu?

Iwe iwavyo lakini Marekani imeguswa pabaya na pengine watu wake hao waliodhurumiwa haki ya kuishi ndio waliofanya zuio litolewe.

Hivyo kwa upekee nimpongeze Mh Makonda kwa utendaji uliotukuka na asiyumbe. Vita ya kiuchumi ni pana na kuilinda nchi kunahitaji kujitoa.

Wapo TISS wapo Police lakini wapo raia mmoja mmoja. Mh Makonda nafikiri ameingia katika hili kutokana na nafasi yake lakini pia kama raia mwema.

Narudia tena, Hongera Mh Makonda.
 
Lengo la Mabeberu ni kumwashia taa nyekundu dikteta Meko. Hili si suala kupongeza hata kidogo kwani tunaoenda kuathirika ni sisi wananchi.
Hebu angalia hili zuio la bahati nasibu ya kupata visa ya marekani (Green Card) limemgusa kila raia wa nchi hii.

Kama Meko na serikali yake wataendelea kushupaza shingo kuna uwezekano mkubwa mabeberu wakaiwekea nchi yetu vikwazo vya kiuchumi jambo litakalosababisha mateso kwa kila raia aishiye hapa nchini.

Kabla hatujafika huko ni lazima watanzania tujinusuru kwa kutomchagua tena huyu dikteta, la sivyo tutaangamia.

Hivi kwanini mtu mmoja atusababishie mateso yote haya? Ili kurejesha amani yetu iliyopotea ni lazima Meko awe nje ya nyumba nyeupe ifikapo Novemba mwaka huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MR KUO, Tunaweza kujenga uchumi wetu bila kuumizana, lakini hatuwezi kuujenga bila ushirikishwaji wa watanzania wote bila kujali rangi, dini, makabila, kanda wala vyama vyao vya siasa
 
Ndio!! Hizi ni pongezi zangu binafsi toka Mwanza kwa Mh Makonda kwa kutambuliwa na Marekani wababe wa dunia. Wameamua kumpiga pini kwenda Marekani.

Nitaeleza kwanini nampongeza Mh Makonda kwa hili.

Ikumbukwe Marekani mbali na kujitanabaisha kama taifa linalolinda haki za binadamu ila ndio taifa namba moja kwa ukiukwaji wa haki hizo.

Sina haja ya kurejea matukio kadhaa ya kukiuka haki za binadamu hasa hiyo haki wanayomshutumu nayo Mh Makonda kwamba amadhurumu haki ya kuishi kwa watu kadhaa.

Lakini je wao kwa Gaddafi walifanya nini? Wao kwa Mohamed wa Iran wamefanya nini? Na kwa wengine wengi tu.

Pongezi zangu kwa Mh Makonda zinaegemea kwenye eneo moja; Marekani haijitokezi katika eneo lolote lisilogusa maslahi yao hata kama kuna haki zinakiukwa.

Kwa mantiki hii nachelea kusema "kuna mahali Mh Makonda amewagusa, ameharibu maslahi yao, amepora haki ya kuishi kwa watu ambao Marekani walikuwa na maslahi yao.

Watu hao ambao Mh Makonda amegusa maslahi ya Marekani yawezekana walikuwa Watanzania au sio Watanzania maana andiko la Marekani halijagusa hasa ni watu gani. Je watu hao walikuwa na matokeo mazuri kwa Tanzania yetu?

Iwe iwavyo lakini Marekani imeguswa pabaya na pengine watu wake hao waliodhurumiwa haki ya kuishi ndio waliofanya zuio litolewe.

Hivyo kwa upekee nimpongeze Mh Makonda kwa utendaji uliotukuka na asiyumbe. Vita ya kiuchumi ni pana na kuilinda nchi kunahitaji kujitoa.

Wapo TISS wapo Police lakini wapo raia mmoja mmoja. Mh Makonda nafikiri ameingia katika hili kutokana na nafasi yake lakini pia kama raia mwema.

Narudia tena, Hongera Mh Makonda.

Rubbish mshazoea kukata wazee mapanga mna roho ya uuaji mmewanyima wazee haki ya kuishi,kilichobaki mtafanywa kama yule Wa Iran apandacho mtu ndicho uvuna
 
Lengo la Mabeberu ni kumwashia taa nyekundu dikteta Meko. Hili si suala kupongeza hata kidogo kwani tunaoenda kuathirika ni sisi wananchi.
Hebu angalia hili zuio la bahati nasibu ya kupata visa ya marekani (Green Card) limemgusa kila raia wa nchi hii.

Kama Meko na serikali yake wataendelea kushupaza shingo kuna uwezekano mkubwa mabeberu wakaiwekea nchi yetu vikwazo vya kiuchumi jambo litakalosababisha mateso kwa kila raia aishiye hapa nchini.

Kabla hatujafika huko ni lazima watanzania tujinusuru kwa kutomchagua tena huyu dikteta, la sivyo tutaangamia.

Hivi kwanini mtu mmoja atusababishie mateso yote haya? Ili kurejesha amani yetu iliyopotea ni lazima Meko awe nje ya nyumba nyeupe ifikapo Novemba mwaka huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi ng'oa jiwe bila nyundo
 
Ndio!! Hizi ni pongezi zangu binafsi toka Mwanza kwa Mh Makonda kwa kutambuliwa na Marekani wababe wa dunia. Wameamua kumpiga pini kwenda Marekani.

Nitaeleza kwanini nampongeza Mh Makonda kwa hili.

Ikumbukwe Marekani mbali na kujitanabaisha kama taifa linalolinda haki za binadamu ila ndio taifa namba moja kwa ukiukwaji wa haki hizo.

Sina haja ya kurejea matukio kadhaa ya kukiuka haki za binadamu hasa hiyo haki wanayomshutumu nayo Mh Makonda kwamba amadhurumu haki ya kuishi kwa watu kadhaa.

Lakini je wao kwa Gaddafi walifanya nini? Wao kwa Mohamed wa Iran wamefanya nini? Na kwa wengine wengi tu.

Pongezi zangu kwa Mh Makonda zinaegemea kwenye eneo moja; Marekani haijitokezi katika eneo lolote lisilogusa maslahi yao hata kama kuna haki zinakiukwa.

Kwa mantiki hii nachelea kusema "kuna mahali Mh Makonda amewagusa, ameharibu maslahi yao, amepora haki ya kuishi kwa watu ambao Marekani walikuwa na maslahi yao.

Watu hao ambao Mh Makonda amegusa maslahi ya Marekani yawezekana walikuwa Watanzania au sio Watanzania maana andiko la Marekani halijagusa hasa ni watu gani. Je watu hao walikuwa na matokeo mazuri kwa Tanzania yetu?

Iwe iwavyo lakini Marekani imeguswa pabaya na pengine watu wake hao waliodhurumiwa haki ya kuishi ndio waliofanya zuio litolewe.

Hivyo kwa upekee nimpongeze Mh Makonda kwa utendaji uliotukuka na asiyumbe. Vita ya kiuchumi ni pana na kuilinda nchi kunahitaji kujitoa.

Wapo TISS wapo Police lakini wapo raia mmoja mmoja. Mh Makonda nafikiri ameingia katika hili kutokana na nafasi yake lakini pia kama raia mwema.

Narudia tena, Hongera Mh Makonda.

Sina hakika kama atazipokea pongezi hizi. Kwani ulisikia hata TBC au channel kumi wakitangaza kuwa hili la huyu mheshimiwa limejiri?
 
Mzee Warioba anasemaje kwenye hili?
 
Back
Top Bottom